Nejad Rocket JF-Expert Member Joined Jul 5, 2017 Posts 298 Reaction score 197 Jan 10, 2018 #1 Jamani Nina mitende miwili kila mwaka zinaharibika sijui namna zinavyotengenezwa. Msaada Kwa mwenye ujuzi.
Jamani Nina mitende miwili kila mwaka zinaharibika sijui namna zinavyotengenezwa. Msaada Kwa mwenye ujuzi.
Shark JF-Expert Member Joined Jan 25, 2010 Posts 29,977 Reaction score 30,168 Jan 10, 2018 #2 Nejad Rocket said: Jamani Nina mitende miwili kila mwaka zinaharibika sijui namna zinavyotengenezwa. Msaada Kwa mwenye ujuzi. Click to expand... Be the first to reply,...........!!!!!!!! Tende ni Tunda, Sasa kutengenezwaje ki aje labda??
Nejad Rocket said: Jamani Nina mitende miwili kila mwaka zinaharibika sijui namna zinavyotengenezwa. Msaada Kwa mwenye ujuzi. Click to expand... Be the first to reply,...........!!!!!!!! Tende ni Tunda, Sasa kutengenezwaje ki aje labda??
Vera ginger JF-Expert Member Joined Dec 25, 2016 Posts 1,462 Reaction score 1,917 Jan 10, 2018 #3 Nejad Rocket said: Jamani Nina mitende miwili kila mwaka zinaharibika sijui namna zinavyotengenezwa. Msaada Kwa mwenye ujuzi. Click to expand... Tende ni tunda Mtende ni mti wake Jee hayo matunda ndio yanaharibika au mti wake? Fafanua swali vzr mkuu
Nejad Rocket said: Jamani Nina mitende miwili kila mwaka zinaharibika sijui namna zinavyotengenezwa. Msaada Kwa mwenye ujuzi. Click to expand... Tende ni tunda Mtende ni mti wake Jee hayo matunda ndio yanaharibika au mti wake? Fafanua swali vzr mkuu
Nejad Rocket JF-Expert Member Joined Jul 5, 2017 Posts 298 Reaction score 197 Jan 10, 2018 Thread starter #4 Vera ginger said: Tende ni tunda Mtende ni mti wake Jee hayo matunda ndio yanaharibika au mti wake? Fafanua swali vzr mkuu Click to expand... Yani yanaiva yanapukutika chini kwakuwa siwezi kuyatengeneza kwa ajili ya kuliwa
Vera ginger said: Tende ni tunda Mtende ni mti wake Jee hayo matunda ndio yanaharibika au mti wake? Fafanua swali vzr mkuu Click to expand... Yani yanaiva yanapukutika chini kwakuwa siwezi kuyatengeneza kwa ajili ya kuliwa