Companero Platinum Member Joined Jul 12, 2008 Posts 5,609 Reaction score 1,737 Sep 11, 2009 #1 kilingeni naingia, ndimi mwana wazuoni utamu wakolea, wajaa mpaka kisogoni halua nimebwia, imeua hamu mtendeni tende nimeikacha, halua tu naitamani Itaendelea...
kilingeni naingia, ndimi mwana wazuoni utamu wakolea, wajaa mpaka kisogoni halua nimebwia, imeua hamu mtendeni tende nimeikacha, halua tu naitamani Itaendelea...
Nyani Ngabu Platinum Member Joined May 15, 2006 Posts 98,347 Reaction score 144,902 Sep 11, 2009 #2 Ujamaa umekushinda sasa unaingilia umalenga...Lol
Companero Platinum Member Joined Jul 12, 2008 Posts 5,609 Reaction score 1,737 Sep 11, 2009 Thread starter #3 Julius said: Ujamaa umekushinda sasa unaingilia umalenga...Lol Click to expand... Ujamaa na Umalenga vinakwenda pamoja. Hata Mwalimu alikuwa Malenga au hujasoma mashairi yake - Nikutumie? Uyakumbuke na haya Mashairi ya Azimio la Arusha: http://openlibrary.org/b/OL5750730M/Mashairi_ya_Azimio_la_Arusha.
Julius said: Ujamaa umekushinda sasa unaingilia umalenga...Lol Click to expand... Ujamaa na Umalenga vinakwenda pamoja. Hata Mwalimu alikuwa Malenga au hujasoma mashairi yake - Nikutumie? Uyakumbuke na haya Mashairi ya Azimio la Arusha: http://openlibrary.org/b/OL5750730M/Mashairi_ya_Azimio_la_Arusha.