Hujambo konnie?
Tegua basi darling wangu.
Unajua 'donge nono' weye?
We bepari Bishanga, hii makitu ilishatoka tena hapa na mtoa tendawili akatupa jibu eti ni "MFANO" mi hata sikumuelewaga asee.Kuna kitu cheusi kama giza na cheupe kama barafu......ni haramu kuliwa na halali kukinywa....kina herufi tano na kinaanza na neno M...kinatumika na wanaume mara TATU kwa siku na wanawake mara MOJA tu katika maisha yao yote.
JE NI KITU GANI HICHO?
basi karibu Kivu...ama chagua Kigali au Butare...?
...ramli ni nini?...bebiibebii....naomba usiwe unajibu vitu kama hivi....mara nyingi huwa ni ramli....sawa bebi...?
...ramli ni nini?...bebii
bebii.....ramli ni ya wachawi na waganga wa kienyeji....
....ok! bebii nashukuru kwa kunifafanulia....kwa jina la yesu washindwe....bebii.....ramli ni ya wachawi na waganga wa kienyeji....
Doreen,Yummy,cantalisia na Preta,mmoja wenu anipe kideti ndo ntategua.
...kiongozi Bishanga...hapo Bold...plz ....plz...tutaonana wabaya..Doreen,Yummy,cantalisia na Preta,mmoja wenu anipe kideti ndo ntategua.