talentbrain
JF-Expert Member
- Oct 5, 2009
- 1,187
- 760
Assalaam alaikum na amani ya Bwana iwe nanyi nyote.
Niwashukuru saaana wale wote waliochangia thread yangu kabla ya hii iliyokuwa ikihoji kutoonekana kwa website ya ofisi yangu. Ninawashukuru kwa kuwa mlikuja na majibu mujarrabu juu ya kilichosababisha website yangu kupotea. Ila zaidi ya hapo kuna waliogusia njia ya kufanya ili isijetokea tena website yangu ikapotea. japo majibu juu ya hilo hayakuwa ya kutosheleza.
Ila pia nilihoji juu ya uwezekano wa kutengeneza website yenye domain name ile ile ambapo majibu ya wataalam yalionesha kuwa inawezekana. Ila katika maombi yangu nilieleza jinsi website iliyopotea ilivyokuwa haikidhi mahitaji yangu. hivyo ni wazi kuwa nahitaji website itayokidhi nahitaji ya ofisi yangu.
Kwa kutambua ushindani wa kibiashara na haki sawa kwa wote, ninapenda kutumia fursa hii kusema kuwa watu binafsi au makampuni ya kutengeneza website yanaweza kutuma proposal zao ili zipitiwe na yule atayekuwa na kazi bora zaidi na gharama tutayomudu ndio atayepewa kazi. Pia naahidi kuufanya mchakato huu uwe wa haki.
Naanza kupokea proposal kesho hadi jumatano hii. halafu ijumaa mshindi wa kazi ntamuweka hapa jukwaani. Pia ni mategemeo yangu ushindani huu utapelekea kazi bora na gharama inayoendana na hali halisi.
Pia nimshukuru kaka mmoja aliyejitolea kutengeneza reservation na peymant kwa M-pesa, tigo pesa na airtel money.
Aidha niwashukuru wote mliochangia mawazo wenu katika hili.
Waweza wasiliana nami kwa Email: coastviewresort@gmail.com au talentbrainjs@gmail.com. Ukiona vp ni PM pia.
Thanks again wana science forum.