MKUU. UNACHOKIONGEA NI SAHIHI KABISA, PIA NIONGEZEE NYAMA. KUSUMA VITABU VYA HEKIMA YA MFALME SELEMANI (MITHALI NA MHUBIRI) HIVI VITABU UKIVISOMA KWA KUJIFUNZA NA KUTENDA HAKIKA UTAKUWA NA KISIMA CHA HEKIMA NA WATU WATAKUJA KUTAFUTA MAARIFA KWAKO NDUGU.Huwa mimi ninapenda kukaa na watu wazima au wenye elimu na kupenda kuwasikiliza wanavyosema Mkuu mwambunnyara Pendelea kukaa na watu wazima au watu wenye elimu kukuzidi wewe utapata faida za dunia.