Tenants beware: Nhc to rise rent up to 1.5m/=. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tenants beware: Nhc to rise rent up to 1.5m/=.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Danniair, Sep 6, 2012.

 1. D

  Danniair JF-Expert Member

  #1
  Sep 6, 2012
  Joined: Feb 18, 2011
  Messages: 361
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Habari za uhakika toka NHC zinatonya kuwa NHC wameisha pitisha mpango wa kutoza pango kwa kiwango kitakachofikia 1.5M/= kwa mwezi.

  tafadhali natoa wito kwa wapangaji wenzangu wa NHC kuungana na kulipinga ongezeko hilo. kwangu mimi sababu kubwa ikiwa ni kuwa, kwa uzoefu wangu uchumi wa nchi hii unatawaliwa na wa-tz wenye asili ya kiasia; ambao wengi wao ndio wateja wakubwa wa NHC ktk miji yetu mikubwa.

  Wa-tz hawa (wenye asili ya asia), wanao wafanyakazi wao waliowapangishia ktk nyumba hizi ambao wengi wao pia ni ma tx wao. Nachelea kusema kuwa, iwapo pango litapanda kwa kiasi hicho, basi ni dhahili kuwa bidhaa zote Tanzania nzima zitapanda kwa kiasi hicho (% hiyo). Why? Kwa sababu viwanda vyote, maduka ya jumla karibia yote na mabohari yamo mikononi mwao, hivyo ilikufidia ongezeko la pango, bei zitapanda ili faida yao ibaki pale pale, na pango hilo kufidiwa na wa-tz wote kwa ongezeko la bei za bidhaa zote mpaka huduma za hospital.

  Kwa wale wenye maofisi naamini pia watapandisha bei za huduma/bidhaa zao.

  Ushauri wangu kwa serikali; NHC ipitie ile mikataba mibovu yote na kuivunja. Mf. mkataba wake wa Golden Plaza wa 25% NHC na 75% Wabia (JV), ili iweze kujiongezea kipato.

  Ushauri wangu kwa wapangaji: Tulipinge jambo hili kwa nguvu zote. SOLIDARITY FOREVER Umoja ni nguvu....
   
 2. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #2
  Sep 6, 2012
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,197
  Trophy Points: 280
  Zitapanda kutoka kiasi gani na kwa asilimia ngapi?
   
Loading...