Ten most influential African countries

Msulibasi

JF-Expert Member
Dec 2, 2014
5,913
7,833
South Africa, Ethiopia, Nigeria,
Kenya, Morocco, Rwanda, Zimbabwe,Uganda,,Algeria. Kwa mujibu wa jarida la Cradle Africa.
 
High HIV prevalance rate countries
behaviour of other states and internatìonal organisations. When they speak others listen. lts unfortunate no one cares about tz tunajidanganya humu ndani.
 
behaviour of other states and internatìonal organisations. When they speak others listen. lts unfortunate no one cares about tz tunajidanganya humu ndani.
Mtu kama mugabe,kagame,museveni kweli wana mvuto kwa kuwa hakuna viongozi wazuri kama wao
 
hayo ni maoni ya mwandishi haimaanishi kua huo ndip ukweli wenyewe.
 
behaviour of other states and internatìonal organisations. When they speak others listen. lts unfortunate no one cares about tz tunajidanganya humu ndani.
wewe mleta hoja una lako. may be kama unasema countries with most controversy i e corruption dictatorships support of insurgensy to neighbours i e uganda rwanda etc
 
wewe mleta hoja una lako. may be kama unasema countries with most controversy i e corruption dictatorships support of insurgensy to neighbours i e uganda rwanda etc
We utaona ni ïnsurgents wenzio wapo kutekeleza security strategies za nchi zao na wameweza
 
Zimbabwe je?
Mugabe ameweka msimamo wa ardhi kwa wazawa,Kupinga ushoga explicitly,na ubeberu,ana ushawishi Sadc na AU .South Africa waliponza kufukuza wageni nani alikoroma na wakanyooka?
 
Ukiangalia hizi nchi ni zile ambazo wazungu wanamasilie yao , ndio sababu zipo kwenye hiyo list. Lakini sithani kama list imeandikwa na waafrika wenyewe.
 
Back
Top Bottom