Tempting

Mh!hiyo mikao mbona inatisha sana,utafikili farasi anatamani kumbeba mwanadamu angalau kidogo,ili afike haraka aendako!!
 
Nami nimeziweka tu ili tufaidi wote wandugu. Wapo wliofanya hii kazi
 
Art at its best!
Miaka yangu yote ya uhai nimekuwa natamani mno kuwa artist wa kuchora, lakini kufikia wa leo naanza kuogopa kuwa nishachelewa...
^^^**^***Umri huu nao ishu sana!:coffee:
 
Hizi sasa ni nje ya maadili jamani au?
 
Art at its best!
Miaka yangu yote ya uhai nimekuwa natamani mno kuwa artist wa kuchora, lakini kufikia wa leo naanza kuogopa kuwa nishachelewa...
^^^**^***Umri huu nao ishu sana!:coffee:

mkuu hujachelewa. Uchoraji si soka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…