I Imiconic New Member Oct 16, 2017 2 0 Mar 16, 2018 #1 Habarini wadau. Ninatafuta temporary work ambayo inahitaji nguvu na akili.
AdvocateFi JF-Expert Member Jan 15, 2012 11,492 5,040 Mar 17, 2018 #2 Upo tayari kubeba vyuma chakavu kwa ajili ya kupimwa na kuuzwa? Kama upo tayari upload CV yako.
Masekomaza Member Nov 6, 2017 84 113 Mar 17, 2018 #3 AdvocateFi said: Upo tayari kubeba vyuma chakavu kwa ajili ya kupimwa na kuuzwa? Kama upo tayari upload CV yako. Click to expand... hadi kubeba vyuma unataka atume cv?! acheni dharau sababu nyinyi mna ajira.
AdvocateFi said: Upo tayari kubeba vyuma chakavu kwa ajili ya kupimwa na kuuzwa? Kama upo tayari upload CV yako. Click to expand... hadi kubeba vyuma unataka atume cv?! acheni dharau sababu nyinyi mna ajira.