temporary job

Ungependa kazi ya kiwango gani cha mshahara/posho? Kuna jamaa wana kazi, sio ya kuvutia ki vile na vi-chenji wanavyolipa siyo vingi wanalipa basic ya Tsh.105000/= ukijumlisha na overtime ambayo kwao masaa 4 ni compulsory unaweza ukapata kwenye 180000. see, siyo poa sana but if unafikiri itakusaidia karibu nitakulink nao

kaka Ely,
Mimi ndio nasoma sasa hii habari ya kuhusu kazi uliyokuwa unamjibu kijana anayesubiri majibu yake.
Nami nina kijana kamaliza Form 6, bahati mbaya majibu hayakuwa mazuri. Je unaweza kunisaidia kuniunganishia kazi hiyo uliyomjibu jamaa?

simu yangu: 255 713-689665
Asante
 
Mi mwenyewe nimezunguka hapa dsm mda mrefu jobless, naomba kama nafasi bado ipo unilink na mimi.
 
WAPENDWA WATANZANIA WENZANGU,nilipoandika Kibarua, sikumaanisha kazi nzuri ki vile,ni kazi ya ulinzi yenye shifti za mchana na usiku,Sifa zinazotakiwa ni;

1.Elimu ya kidato cha nne
2.Urefu usiopungua ft5'7
3.Wadhamini wawili(kazi/assets siyo lazima ingawa inasaidia)


Naomba niweke wazi pia kuwa kama nilivyosema hiyo kampuni mie sina hisa nayo ila it once helped me wakati natafuta pa kukanyaga,so kama kweli unafikiri itakusaidia na una sifa,Nitafurahi kuwa of some help to a needy,Karibuni

pia kama kuna mtu anataka kazi ya mshahara lak2-3 anitafute haraka,kigezo ni mwenye cheti au diploma au digrii ktk kodi/tax. Kampuni ni mpya na mtu anahitajika haraka. Gudtime.
 
Back
Top Bottom