Template ya kuitolea matokeo ya mtihani

Template ya kuitolea matokeo ya mtihani

mgunda1990

Member
Joined
Jul 19, 2012
Posts
73
Reaction score
4
Habar,,,ndugu naomben msaada wa kutengeneza template itakayo nisaidia kutolea matokeo ya mtihani kidato cha pili na cha nne,nmejaribu kutengeneza kwenye excel nimeambulia patupu,,kwa yeyote mwenye ufaham naomba msaada,,mfano wanyotumia necta au wale wa zone kutolea matokeo..naomba kuwasilisha....
 
Back
Top Bottom