naomba niwaelimishe kuhusu hili jambo,tembo ni wanyama wenye uwezo wa kusikiliza katika very low frequencies,na mara nyingi hawapendi kelele,kwenye horn za gari,zinakuwa na pitch kubwa sana ya sauti ambao huwaudhi,but thats not the main reason.....ukiangalia matukio ya upinduaji wa magari unatokea between september and january,hasa kwa hapa East Africa,ukitembelea mbuga kama Tarangire na Manyara,utakuta miti mikubwa inafanana kama mibuyu,ile inaitwa Amarula trees.wakati wa september hadi december,miti hii hudondosha matunda ambayo zikiliwa na tumbo,zina-ferment na kuwa kama kilevi kwa tembo yule,hivyo hasira zake zinazidi.....this is not official,niliambiwaga na ndugu yangu ambaye alikuwa anafanya kazi huko maporini,kama kuna mwenye more reasonable ideas atujuze.