Tembo ashambulia gari la watalii wachokozi na kuliacha nyang'anyang'a!

Synthesizer

JF-Expert Member
Feb 15, 2010
11,143
18,774
Wiki iliyopita January 2014 watalii fulani wawili huko Afrika Kusini walijifanya wajuaji na kumkorofisha tembo na tembo akalishambulia gari lao na kuliacha written off, huku akiwajeruhi hao watalii. Unfortunately, ilibidi tembo auwawe kwa risasi na game rangers kwa kuogopa kwamba anaweza kushambulia magari mengine. Angalia picha na video link hapo chini. Ukisoma comments utaona watu wengi wamekasirishwa na kitendo cha kumuua tembo huyo aliyechokozwa!

Elephant rolls car - Shock footage of latest Kruger incident | News24

643862-58675b52-7cdb-11e3-8cdb-58f79d3137a3.jpg

Screen-shot-2014-01-14-at-8.47.58-AM.png

Elephant-Rolls-Car-Elephant-Attack-Caught-On-Camera.jpg

car-from-elephant-attack.jpg
 
Dah... Imefika kipindi hata tembo wanachoka kuwindwa kwa ujangili. Ngoja wajilinde maana hata wao wana haki ya kuishi!!!!!
 
Dah... Imefika kipindi hata tembo wanachoka kuwindwa kwa ujangili. Ngoja wajilinde maana hata wao wana haki ya kuishi!!!!!

Mambo yanakwendaje, Je ulitatuaje lile tatizo la kuachiwa majukumu ya mtoto? Mimi nadhani endelea kuwajibika tu mpaka pale ambapo Mungu atamkumbusha huyo mwanamme mwenzetu. Je ana nyumba ingine kubwa nini? Maana nilivyoelewa ni kama wewe ni nyumba ndogo au ilikuwaje? Rushia taarifa kwenye email hii: chikaka_sumuni@yahoo.com
 
mweh.....
 
Hawa ndio wangeletwa huku sasa jamani japo hamsini tu! !!!!!!
Maana wa kwetu ni kama wapole sana vile!!!!

Au kama ni mafunzo na wetu wapelekwe
 
Hawa ndio wangeletwa huku sasa jamani japo hamsini tu! !!!!!!
Maana wa kwetu ni kama wapole sana vile!!!!

Au kama ni mafunzo na wetu wapelekwe

Tembo nao wana polisi jamii? Watalii wapigwe tu.tena nasema wapigwe.
 
Tembo wa ukubwa huo hapa Tanzania sasa ni adimu kuwaona, kwani wengi wao wameishia kuwa chakula ya Majangili.
 
Back
Top Bottom