Tembo ashambulia gari na kulipindua!

Synthesizer

JF-Expert Member
Feb 15, 2010
11,023
18,563
Shambulizi[1].jpg Shambulizi[2].jpg

Jamani tembo si wa kuchezea. Kuna kipindi wanawake fulani walimkuta kasimama barabarani, wakampigia honi, aliifuata gari yao akavunja kioo cha mbele akamchomoa dereva na kumuua. Abiria wengine wakatoka kwenye gari na kukimbilia porini.

Juzi hapa katika mbuga moja Afrika Kusini watalii walishambuliwa na tembo waliyemkuta barabarani. Walipaki pembeni ili apite, na tembo akajifanya anapita, lakini ghafla akaenda nyuma ya gari na kuibetua!
 
Ukienda mbugani jaribu kwanza kusoma warning zake, tembo kama kuna vitu anavichukia duniani hapa ni honi ya gari na kelele za chura, hakika atakuua.
 
Picha inaonesha kuwa walikuwa na umwezo wa kwenda bila kupata madhara ila inaonekana walikuwa wanapiga picha kitu ambacho kilimfanya tembo aweze kupindua gari yao kwa urahisi.
 
naomba niwaelimishe kuhusu hili jambo,tembo ni wanyama wenye uwezo wa kusikiliza katika very low frequencies,na mara nyingi hawapendi kelele,kwenye horn za gari,zinakuwa na pitch kubwa sana ya sauti ambao huwaudhi,but thats not the main reason.....ukiangalia matukio ya upinduaji wa magari unatokea between september and january,hasa kwa hapa East Africa,ukitembelea mbuga kama Tarangire na Manyara,utakuta miti mikubwa inafanana kama mibuyu,ile inaitwa Amarula trees.wakati wa september hadi december,miti hii hudondosha matunda ambayo zikiliwa na tumbo,zina-ferment na kuwa kama kilevi kwa tembo yule,hivyo hasira zake zinazidi.....this is not official,niliambiwaga na ndugu yangu ambaye alikuwa anafanya kazi huko maporini,kama kuna mwenye more reasonable ideas atujuze.
 
Kha! Darasa finyu hivyo? Mi nlifikiri mtaalamu kumbe umeambiwa?
 
Kha! Darasa finyu hivyo? Mi nlifikiri mtaalamu kumbe umeambiwa?
its a fact kila jambo unalolijua umeambiwa,either kwa maneno au kwa maandishi.dont judge me sababu nimeambiwa na mtu,nobody is perfect to know everything.
 
Leo Niwamegee vyangu vya pale Mweka Wildlife
Elephants are famous for their incredible memories and their superior intelligence. In addition, though, they have also become notorious for their violent rage and sometimes fatal outbursts. Their strength and affinity for rage make elephants one of the most potentially dangerous animals in the world. Such behaviour is often preceded by a rocking motion. This is true of both wild and captive elephants in stressful situations, but is more common in those kept in a zoo or circus. This is largely due to the excess frustration felt by such large, free-roaming beasts as they are restricted to tiny areas and, often, abuse.
A very possible reason for these attacks is revenge. As noted, elephants have a memory that rivals almost all other creatures. They have been known to remember those that have hurt them or helped them years after the fact. After extended periods of poaching and culling, elephants suffer post-traumatic stress disorder from witnessing the slaughter of their families and young ones.
Another effect that these killings had on the herds hails from the fact that hunters would often kill the oldest and largest elephants, those that would usually take the lead in the herd. This meant that more inexperienced teenagers were forced to look after themselves without the guidance of an experienced animal. This led to a delinquent generation.
These unpredictable attacks may similarly be a function of abuse inflicted on working elephants, whether in zoos, circuses or industry. Out of loyalty and because of their compassionate nature, elephants will endure a fair amount of abuse before they snap. When they do give in to their frustrations, though, the incident frequently ends in the death of a human being.

Kuna swali linakaribishwa!
 
its a fact kila jambo unalolijua umeambiwa,either kwa maneno au kwa maandishi.dont judge me sababu nimeambiwa na mtu,nobody is perfect to know everything.

OK nimekuelewa labda ni presentation yako ndo imekuhukumu! It was supposed to start with "Niliambiwa" na sio "Naomba niwaelimishe"! Hata hivyo nimekuelewa and sorry kama nimekukwaza!
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom