tembea uone | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

tembea uone

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by mpigilie, May 6, 2012.

 1. m

  mpigilie JF-Expert Member

  #1
  May 6, 2012
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 306
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  kumbe hotel zilizopo karibu na mbuga za wanyama zina misosi adimu sana.

  leo nilikutana na MENU hii katika moja ya hotel hizo


  MENU
  1. supu ya mamba...................3000
  2. mchemsho wa twiga.............3000
  3. wali tembo.........................5000
  4. mishkaki ya chui..................2500
  5. ugali na roast ya fisi.............4500
  6. juice ya mkojo wa punda.......2000
  7. chips mayai ya mbuni............3000
  8
  9
  10


  good apetite
   
 2. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #2
  May 6, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Hiyo mbuga utakuwa umeitembelea kwenye ndoto na siyo tofauti na hapo!
   
Loading...