Huyo demu nae anaeomba huo ushauri kidogo ana dalili za kua mtambo au kuna fuse kichwani zimekata..
Sasa huko kugongwa ndo mtoto tumboni apate mimba?? Huu ni uki.laza uliopitiliza. Ukil.aza wa mwendokasi.
HAYO MAMBO MWAMBIE AKAULIZE KLINIKI., NDO WATAMPA USHAURI SAHIHI WA KUINGILIANA KIMWILI NA HUYO MUME WAKE
Ila huyo demu ni ki.laza ile mbaya , cjui hata kama anajuaga anaingia period tarehe ngapi...