Tembea KM 200 kwa 22,500 tu

Tembea KM 200 kwa 22,500 tu

SautiYaMnyonge

JF-Expert Member
Joined
May 13, 2018
Posts
439
Reaction score
742
~ Funga mfumo wa gesi asilia kwenye gari lako
~ Mfumo wako wa petrol au diesel uliopo hauondolewi unabaki

~ Kwa Mtungi wa kilo 15 gesi asilia unaogharimu 22,500 unatembea kilomita 200

~ Chaguo litakuwa lako kutumia mfumo wa gesi au petrol/diesel uwapo safarini.

GARI LAKO SASA LINAWEZA KUTUMIA GESI ASILIA

Utangulizi:

Taasisi Tecknologia Dar es Salaam (DIT) kwa kushirikiana na wadau wengine wa gesi asilia tunaongeza mfumo wa gesi asilia kwenye magari yanayotumia petrol. Mfumo huu unamwezesha mwenye gari kuwa na uwezo wa kutumia gesi asilia au petrol kulinga na upatikanaji wake. Kwa sasa tunafunga magari yote ya petrol kuanzia madogo IST hadi makubwa V8. Pia tumeanza kufunga gesi asilia kwenye daladala.

Gharama za kuweka huu mfumo:

Gharama inategemea na ukubwa wa injini yaani idadi ya cylinder za injini yako. Mfano kwa gari zenye:-

1. cylinder 4 gharama ni 1.8m,

2. Cylinder 6 gharama ni 2.2m

3. Cylinder 8 gharama inaenda mpaka 2.5m.

Hata hivyo kuna baadhi ya gari gharama hizi inaweza zidi kutokana na mfumo wa injini (kama brevis, crown na voxy ambayo injini zake ni GDI)

Faida za huu mfumo:

1. Unafuu wa gharama za uendeshaji;
Kutumia gesi unapunguza gharama kwa zaidi ya asilimia 40 mpaka 50. Bei ya gesi asilia iko chini sana, ukilinganisha na petrol. Mfano 1kg ya gesi ni sh 1500/= ukilinganisha na sh 2200/= kwa lita ya petrol.
1kg ya gesi unaweza kwenda zaidi ya km 20, na kwa mtungi wa 15kg ambao ni sh 22,500/= unaweza kwenda zaidi ya km 200.

2. Kupunguza uchafuzi wa mazingira;
Gesi ni safi ukilingalinisha na petrol au diesel.

3. Kuongeza kipindi cha kufanya matengenezo ya injini yako;
Kwa kuwa gesi asilia ni safi, basi hata injini yako inakuwa salama zaidi. Mfano kama ulikuwa unafanya matengenezo kila baada ya km 3000, kwa kutumia gesi asilia unaweza kufanya hata baada ya km 9000.

4. Gesi asilia ni salama zaidi;
Gesi asilia ni salama zaidi ukilinganisha na petrol kwani inahitaji joto kubwa sana ili iweze kuwaka ukilinganisha na petrol.

Mahali pa kubadilishia mfumo:

Kwa sasa Tanzania nzima ni sehemu moja tuu inafanya kazi ya kubadili, nayo ni Taasisi ya tecknologia Dar es Salaam (DIT).

Mahali pa kujazia Gesi:

Kwa sasa mahali pa kujazia gesi ni ubungo maziwa. Hata hivyo serikali iko mbioni kuongeza vituo zaidi ya 5 sehemu mbalimbali hapa Dar es salaam.

Hitimisho:
Taasisi ya Tecknolojia Dar es salaam DIT inakukaribisha sana uje uweke mfumo wa gesi asilia kwenye gari lako, kwani ni nafuu na salama zaidi.

Asante
Dr. Esebi Nyari
Mratibu wa gesi asilia- DIT
0755821240
0717962127
eusnyari@gmail.com
----------------------------------

Amua sasa kupunguza gharama za uendeshaji wa gari yako.
 
~ Kwa Mtungi wa kilo 15 gesi asilia unaogharimu shilingi 22,500 unatembea kilomita 200

~ Chaguo litakuwa lako kutumia mfumo wa gesi au petrol/diesel uwapo safarini.

GARI LAKO SASA LINAWEZA KUTUMIA GESI ASILIA

Utangulizi:

Taasisi Teknologia Dar es Salaam (DIT) kwa kushirikiana na wadau wengine wa gesi asilia tunaongeza mfumo wa gesi asilia kwenye magari yanayotumia petrol. Mfumo huu unamwezesha mwenye gari kuwa na uwezo wa kutumia gesi asilia au petrol kulinga na upatikanaji wake. Kwa sasa tunafunga magari yote ya petrol kuanzia madogo IST hadi makubwa V8. Pia tumeanza kufunga gesi asilia kwenye daladala.

Gharama za kuweka huu mfumo:

Gharama inategemea na ukubwa wa injini yaani idadi ya cylinder za injini yako. Mfano kwa gari zenye:-

1. cylinder 4 gharama ni 1.8m,

2. Cylinder 6 gharama ni 2.2m

3. Cylinder 8 gharama inaenda mpaka 2.5m.

Hata hivyo kuna baadhi ya gari gharama hizi inaweza zidi kutokana na mfumo wa injini (kama brevis, crown na voxy ambayo injini zake ni GDI)

Faida za huu mfumo:

1. Unafuu wa gharama za uendeshaji;
Kutumia gesi unapunguza gharama kwa zaidi ya asilimia 40 mpaka 50.

Bei ya gesi asilia iko chini sana, ukilinganisha na petrol. Mfano 1kg ya gesi ni sh 1500/= ukilinganisha na sh 2,200/= kwa lita ya petrol.

Kilo moja ya gesi unaweza kwenda zaidi ya km 20, na kwa mtungi wa 15kg ambao ni sh 22,500/= unaweza kwenda zaidi ya km 200.

2. Kupunguza uchafuzi wa mazingira;
Gesi ni safi ukilingalinisha na petrol au diesel.

3. Kuongeza kipindi cha kufanya matengenezo ya injini yako;
Kwa kuwa gesi asilia ni safi, basi hata injini yako inakuwa salama zaidi. Mfano kama ulikuwa unafanya matengenezo kila baada ya km 3000, kwa kutumia gesi asilia unaweza kufanya hata baada ya km 9000.

4. Gesi asilia ni salama zaidi;
Gesi asilia ni salama zaidi ukilinganisha na petrol kwani inahitaji joto kubwa sana ili iweze kuwaka ukilinganisha na petrol.

Mahali pa kubadilishia mfumo:

Kwa sasa Tanzania nzima ni sehemu moja tuu inafanya kazi ya kubadili, nayo ni Taasisi ya tecknologia Dar es Salaam (DIT).

Mahali pa kujazia Gesi:

Kwa sasa mahali pa kujazia gesi ni ubungo maziwa. Hata hivyo serikali iko mbioni kuongeza vituo zaidi ya 5 sehemu mbalimbali hapa Dar es salaam.

Hitimisho:
Taasisi ya Tecknolojia Dar es salaam DIT inakukaribisha sana uje uweke mfumo wa gesi asilia kwenye gari lako, kwani ni nafuu na salama zaidi.

Asante
Dr. Esebi Nyari
Mratibu wa gesi asilia- DIT
0755821240
0717962127
eusnyari@gmail.com
----------------------------------

Amua sasa kupunguza gharama za uendeshaji wa gari yako.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Natamani kufunga huu mfumo, ila hofu ni nyingi kuliko kukimbilia kufata unafuu.

Kirikuu yangu nimenunua milioni nane, nikifungiwa mfumo huo itanigharimu milioni 1 na laki 8, nawaza, je mfumo ukileta hitilafu kwenye mfumo mwingine wa gari?

Je naweza kuja hapo DIT nikatembelea karakana kuona magari mengine yanayvyofungwa huo mfumo na nikaona jinsi ya kwangu ikiwekwa itakuwaje?

Natamani elimu zaidi ya kinaga ubaga ya ana kwa ana.

Ni jambo zuri kwa uchumi wa wananchi haswa wa kipato cha kati.

Kila mia unayoisevu kwa kuiondoa kwenye matumizi inaingia kwenye akiba, huko ni kukua kiuchumi. Nakumbukia buukipingi na komasi ya sekondari.
 
Na utakuta wanaoutangaza wanatumia mfumo wa mafuta kawaida.
 
Kwenye insurance za magari madogo sheria ya bima inasemaje kuhusu nishati ya gesi?
 
Umenifikirisha nimekumbuka mfumo wa spidi gavana kwenye mabasi na malori...

Hivi ule mfumo umekwisha? Hapo tena nchini?

Spidi gavana waliondoa nyuma sana, sikumbuki sababu ilikuwa ni nini.

Siku hizi kuna mfumo wamefunga ambapo ukivuka spidi husika inapiga alarm na nafikiri Sumatra wanapata taarifa.
 
Oooh okay..
 
Natamani kufunga huu mfumo, ila hofu ni nyingi kuliko kukimbilia kufata unafuu.

Kirikuu yangu nimenunua milioni nane, nikifungiwa mfumo huo itanigharimu milioni 1 na laki 8, nawaza, je mfumo ukileta hitilafu kwenye mfumo mwingine wa gari?

Je naweza kuja hapo DIT nikatembelea karakana kuona magari mengine yanayvyofungwa huo mfumo na nikaona jinsi ya kwangu ikiwekwa itakuwaje?

Natamani elimu zaidi ya kinaga ubaga ya ana kwa ana.

Ni jambo zuri kwa uchumi wa wananchi haswa wa kipato cha kati.

Kila mia unayoisevu kwa kuiondoa kwenye matumizi inaingia kwenye akiba, huko ni kukua kiuchumi. Nakumbukia buukipingi na komasi ya sekondari.
Kasie, pamoja na maswali yako hayo, maelezo zaidi yanahitajika hasa kuhusu magari ambayo huenda nje ya Dsm, mara kwa mara, ambako hakuna vituo vya kujaza gesi ikalazimika kutumia mfumo wa mafuta.

1) Kuna athari gani kwa injini na gari, kwa ujumla, kubadili mara kwa mara kutumia gesi au mafuta?

2) Je, ni nini changamoto la ongezeko la tanki la gesi kwenye gari?

3) Ni usalama gani umezingatiwa kwa matumizi ya gesi yenye kiwango kikubwa cha mlipuko?

Tukumbuke kuzingatia ushauri wa kujikinga dhidi ya na kuzuia kusambaza kwa COVID-19. Kwa pamoja Tanzania bila COVID-19 yawezekana.

JIKINGE UMKINGE JIRANI

JILINDE UWALINDE UWAPENDAO
 
Dah.... anayeijua gari ya Dr Esebi Nyari tafadhali ajitokeze....
~ Funga mfumo wa gesi asilia kwenye gari lako
~ Mfumo wako wa petrol au diesel uliopo hauondolewi unabaki

~ Kwa Mtungi wa kilo 15 gesi asilia unaogharimu 22,500 unatembea kilomita 200

~ Chaguo litakuwa lako kutumia mfumo wa gesi au petrol/diesel uwapo safarini.

GARI LAKO SASA LINAWEZA KUTUMIA GESI ASILIA

Utangulizi:

Taasisi Tecknologia Dar es Salaam (DIT) kwa kushirikiana na wadau wengine wa gesi asilia tunaongeza mfumo wa gesi asilia kwenye magari yanayotumia petrol. Mfumo huu unamwezesha mwenye gari kuwa na uwezo wa kutumia gesi asilia au petrol kulinga na upatikanaji wake. Kwa sasa tunafunga magari yote ya petrol kuanzia madogo IST hadi makubwa V8. Pia tumeanza kufunga gesi asilia kwenye daladala.

Gharama za kuweka huu mfumo:

Gharama inategemea na ukubwa wa injini yaani idadi ya cylinder za injini yako. Mfano kwa gari zenye:-

1. cylinder 4 gharama ni 1.8m,

2. Cylinder 6 gharama ni 2.2m

3. Cylinder 8 gharama inaenda mpaka 2.5m.

Hata hivyo kuna baadhi ya gari gharama hizi inaweza zidi kutokana na mfumo wa injini (kama brevis, crown na voxy ambayo injini zake ni GDI)

Faida za huu mfumo:

1. Unafuu wa gharama za uendeshaji;
Kutumia gesi unapunguza gharama kwa zaidi ya asilimia 40 mpaka 50. Bei ya gesi asilia iko chini sana, ukilinganisha na petrol. Mfano 1kg ya gesi ni sh 1500/= ukilinganisha na sh 2200/= kwa lita ya petrol.
1kg ya gesi unaweza kwenda zaidi ya km 20, na kwa mtungi wa 15kg ambao ni sh 22,500/= unaweza kwenda zaidi ya km 200.

2. Kupunguza uchafuzi wa mazingira;
Gesi ni safi ukilingalinisha na petrol au diesel.

3. Kuongeza kipindi cha kufanya matengenezo ya injini yako;
Kwa kuwa gesi asilia ni safi, basi hata injini yako inakuwa salama zaidi. Mfano kama ulikuwa unafanya matengenezo kila baada ya km 3000, kwa kutumia gesi asilia unaweza kufanya hata baada ya km 9000.

4. Gesi asilia ni salama zaidi;
Gesi asilia ni salama zaidi ukilinganisha na petrol kwani inahitaji joto kubwa sana ili iweze kuwaka ukilinganisha na petrol.

Mahali pa kubadilishia mfumo:

Kwa sasa Tanzania nzima ni sehemu moja tuu inafanya kazi ya kubadili, nayo ni Taasisi ya tecknologia Dar es Salaam (DIT).

Mahali pa kujazia Gesi:

Kwa sasa mahali pa kujazia gesi ni ubungo maziwa. Hata hivyo serikali iko mbioni kuongeza vituo zaidi ya 5 sehemu mbalimbali hapa Dar es salaam.

Hitimisho:
Taasisi ya Tecknolojia Dar es salaam DIT inakukaribisha sana uje uweke mfumo wa gesi asilia kwenye gari lako, kwani ni nafuu na salama zaidi.

Asante
Dr. Esebi Nyari
Mratibu wa gesi asilia- DIT
0755821240
0717962127
eusnyari@gmail.com
----------------------------------

Amua sasa kupunguza gharama za uendeshaji wa gari yako.

Sent using Beretta ARX 160
 
Back
Top Bottom