Ukawa kazini, check buti la Temba
Buti la Temba = CHADEMA; Buti + chepeo la Chege = CUF; Mkutano = CCM!!!! Nini ujumbe???
Ujumbe ni kula CCM.......lala UKAWA........mbona simple tu........
duh yale malalamiko ya makufuli sasa nimeanza kumuelewa
Hivi temba ni msukuma...!??
na huo ndiyo ukwelLeo nimeota kuwa.......waliotoka ccm kuja ukawa ni wachache kuliko waliobaki.........ambao wapo ukawa kiroho lakini kibode wapo ccm...........
Leo nimeota kuwa.......waliotoka ccm kuja ukawa ni wachache kuliko waliobaki.........ambao wapo ukawa kiroho lakini kibode wapo ccm...........
ai lavu yuu