Tell your marital status!!special to someone you love or hate or whatever

we acha tu mkuu mwekundu huu uzi wako lazima upate ushuhuda!! Miye kila la kheri tu!! Ehe vipi we bado hujafungukiwa?

Teh teh ............."BADO" na ninavyopendaga mdada ani approach nitaringaje.......we acha tu lakini mwishoni lazima nimkubalie LMAO!!
 
teh teh .............kuna watu mna vitukoooo ha ha ha LOL

Nimemwomba Munkari anipigie chapuo, munkari naye anataka ankara. Wadada wa JF pasua kichwa sana. Si tunawapenda wao wanatuzengua.

Ngoja niendelee na mpenzi wangu utelezi wa Protex kwenye kiganja changu. Baas
 
Last edited by a moderator:
Nimemwomba Munkari anipigie chapuo, munkari naye anataka ankara. Wadada wa JF pasua kichwa sana. Si tunawapenda wao wanatuzengua.

Ngoja niendelee na mpenzi wangu utelezi wa Protex kwenye kiganja changu. Baas
ha ha ha ha Protex haichubui?
 
Back
Top Bottom