mark girland
JF-Expert Member
- Feb 7, 2019
- 1,026
- 758
Love is the power..
Maombi yako na yatatimia katika jina la Yesu mwana wa Mungu aliye hai, sema ameeennnnnn
WHOAAAA! I am so happy for you congratulations [emoji324][emoji322][emoji323]
Tushushie vitu vyako sasa.
Nakuona kwa raha zako, hongera sana.
Sana ,upendo ulishinda hata mautiLove is the power..
Kila la heri bestie one day yesHuu wimbo unanifanyaga nitamani kuolewa yan siku ya harusi niupigeee
Nasubiria manyoya
Good nyt
Kabisaaa!!Sana ,upendo ulishinda hata mauti
Familia yao inampenda Celine dion kiasi kwamba Yeye anaitwa Celine mdogo wake Dion, nashangaa celine dion hajawahi hata kukapa Airtime aiseeKuna dogo anaitwa Celine tam ameiimba hyo nyimbo kwenye American got talent kamfumika mwenye wimbo