Mungu tuepushe na hili balaaView attachment 322154
View attachment 322155
View attachment 322156
Tell me again why we should forget...???
#BlackHistoryMonth #NeverForget
Haba si ajabu zitafunguka kesho... Nikikumbuka hiyo kesho nitacheki tenaJitahidi ufungue upate hasira kidogo
Atuepushe mara ngapi mkuu,Alishatuepusha kitambo.Na ingelikuwa bado.Wangetunyoosha hawa maswetani
"waafrika tunashindwa kujitawala wenyewe bila msaada wa aina yoyote kutoka kwa hawa watu wenye rangi zilizo kwenye nyayo za mwafrika kuanza misaada ya kimawazo hadi kifedha"-God remember usView attachment 322154
View attachment 322155
View attachment 322156
Tell me again why we should forget...???
#BlackHistoryMonth #NeverForget
Yani maisha ya mtu mweusi ni mateso mpaka siku anapunzika kwa kaburi mkuu
Wasiliana nami pm nikupe suluhisho.Sijui kwanini picha kwangu zinagoma kufunguka
Hata sipajuiWasiliana nami pm nikupe suluhisho.
dah..!"waafrika tunashindwa kujitawala wenyewe bila msaada wa aina yoyote kutoka kwa hawa watu wenye rangi zilizo kwenye nyayo za mwafrika kuanza misaada ya kimawazo hadi kifedha"-God remember us
Inauma Sana! Na bado tunachukiwa tena bila hata sababuHivi kwanini bado tunawashobokea wazungu.???????????????????????? Aisee black man amepitia mapito marefu sana.
Na bado; kuna wanaolalamika kwa nini Magufuli hapandi ndege kwenda kuwafuata huko kwao "kujitambulisha", eti kwa sababu hajui kizungu.Harafu jitu tunalipa urais kila siku kazi kupanda ndege kwenda kuomba misaada.
Unatumia Old JF ? Km yes update it plzSijui kwanini picha kwangu zinagoma kufunguka