Tell me about Russia.


Hatupo hapa kushindana mipasho,huo ni mtazamo na uzoefu wangu. I have been around the world. toa experience yako.
 
We kila.za umekuja kutuvurugia Uzi wetu
Vilaza ni nyie mnaouendeleza ukilaza wenu kwa kujazana ushuzi kwenye vichwa vyenu kuwa eti Russia ipo Asia

Mmepoteza sifa za kuwa humu kwa ma-great thinkers,rudini zenu insta huko au fb ndio kwenye level zenu vilaza wa head nyie
 
Hatupo hapa kushindana mipasho,huo ni mtazamo na uzoefu wangu. I have been around the world. toa experience yako.
Huu ni u-Pogba, huwa hamtakagi kbs kukosolewa km Pogba vile,naona umeanza kwa kujihami kuwa unachoambiwa ni mipasho,defensive mechanism
 
Uongo
 
QUOTE="Bavaria, post: 18988521, member: 295384"]Niambie kuhusu wanawake.



[/QUOTE]


Ni kati ya nchi zenye wanawake warembo sana na wanakufukuzia wewe pengine kuliko unavyomfuatilia mwanamke yeyote. Ni kama kila mwanamke wa Kirusi anataka uhusiano na mtu mweusi.
 

Sikumbuki mtu kuisubiria Subway au Path zaidi Ya nusu saa au saa nzima
Hebu fafanua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…