Kama kila mwaka unatenga muda wa kujifunza nchi moja moja sijui mpaka sasa ushajifunza nchi ngapi, au kama ndo unaanza haya mafunzo mema maana mpaka uimalize dunia nzima kazi ipo[/QUOTE][QUOTkikavaria, post: 18946586, member: 295384"]Huwezi nichosha mkuu.
Kila mwaka napenda kutenga muda wangu kujifunza kitu kuhusu nchi fulani.
Na 2017 ni zamu ya Russia.
Kwahiyo wewe andika chochote kuhusu Russia, ntasoma na kuzidi kujifunza.
Nikitaka kukifahamu kirusi inachukua muda gani?Sio kama mnavyoaminishwa.
Ni kama ushawahi kuambiwa kuwa tanga kuna uchawi ukikanyaga gunzi linakuongelesha.
Ila ukifika tanga hakuna kitu kama hicho.
Ubaguzi upo ila sio kwa extent ya mtu kushindwa kuishi.
Sina mpango wa kumaliza dunia nzima.Kama kila mwaka unatenga muda wa kujifunza nchi moja moja sijui mpaka sasa ushajifunza nchi ngapi, au kama ndo unaanza haya mafunzo mema maana mpaka uimalize dunia nzima kazi ipo
That will be a sweetest of you ro accomplish your dream. Go ahead buddy[/QUOTE]Sina mpango wa kumaliza dunia nzima.
Najifunza zile nchi ambazo utamaduni wao hauingiliani moja kwa moja na nchi nyingine.
Zaidi ya hayo kuna nchi nazipenda tu ila kuzifahamu kwa undani si rahisi.
Ni nchi chache nimeamua kuzifahamu.
Ikiwezekana siku moja niende kutembea..
Daragoi hata mimi niliishi pale Kazakhstan,Miaka nane na nusu.
Nimeishi Russia -moscow na caucus ( ni jimbo la russi lina vurugu kama kosovo) huko watu wanamjua 2 pac kwa sababu ni mwislamu na wao ni waislamu.
Mtu mweusi wakikuona wanataka uimbe mistari ya 2 pac.
Pia kazakhstan nimeishi nchi za ussr zilimeguka, nikaenda hadi ukrain na poland. Pia uzbekstan na abhazia yale majimbo aliyoyachukua Putin kutoka Georgia.
Ila moscow ndio nimekaa sana.
Baridi lake linafika hadi minus 39
Andika kuhusu Putin au yale madude ambayo US anayaogopa, yale madude ya kupaa angani.Russia ni nchi kubwa sana na ina majimbo mengi ambayo yanatofautiana masaa na hata tamaduni zake zinatofautiana japo wote ni warusi na wanaongea kirusi.
Kuna majimbo kama caucus kusini mwa Ru huko kuna watu watata sanaa ni waislamu na baadhi yao ni magaidi kama unakumbuka wale madogo waliolipua Boston marathon kama unazo kumbu kumbu wanatoka huko Caucus.
Wanaongea lugha yao ya kiu caucas na warusi wanatamka (kafkaz).
Hawa jamaa wanataka sana kujitenga ila Putin hataki kabisa wakitenge.
Kwa sababu anaogopa influence ya usa na mataifa ya europe kwa nchi zinazomzunguka.
......
Aisee ndugu yangu bora uulize swali moja moja manake naweza kukuandikia kitabu hapa nikakuchosha bure
Muda utakao chukua ni kulingana na upeo wako...Nikitaka kukifahamu kirusi inachukua muda gani?
HarashoDaragoi hata mimi niliishi pale Kazakhstan,
Miaka nane na nusu.
Nimeishi Russia -moscow na caucus ( ni jimbo la russi lina vurugu kama kosovo) huko watu wanamjua 2 pac kwa sababu ni mwislamu na wao ni waislamu.
Mtu mweusi wakikuona wanataka uimbe mistari ya 2 pac.
Pia kazakhstan nimeishi nchi za ussr zilimeguka, nikaenda hadi ukrain na poland. Pia uzbekstan na abhazia yale majimbo aliyoyachukua Putin kutoka Georgia.
Ila moscow ndio nimekaa sana.
Baridi lake linafika hadi minus 39
England Spain France Italy kila cku wachezaji weusi wanarushiwa ndizi muulize balotteliOooh mimi nimeisha shuhudia mchezaji mpira anatupiwa ndizi tena siyo mmoja...
England Spain France Italy kila cku wachezaji weusi wanarushiwa ndizi muulize balotteli
Sio joke.Vipi ulikuwa unapiga vodka???? tehtehtehte nauliza tu kama joke...
Nchi zingine za Europe kuna uafadhari kuliko Russia...Timu nyingine za Europe wapo waafrika kibao kwenye national teams for example France 90% ya wachezaji wao ni black vipi Russia...hatari tupu...England Spain France Italy kila cku wachezaji weusi wanarushiwa ndizi muulize balotteli
Sio joke.
Nilikuwa nakunywa sanaa
Winter, kama friji lako ni bovu, kuku na bia unaweka kwenye balcony tu mradi pawe na usalama, friji haliingii.Ukitaka pombe Kali utazipata,,,barid kila wakat kwa hyo jipange