Tell me about Russia.

Tell me about Russia.

Russia ni nchi kubwa sana na ina majimbo mengi ambayo yanatofautiana masaa na hata tamaduni zake zinatofautiana japo wote ni warusi na wanaongea kirusi.

Kuna majimbo kama caucus kusini mwa Ru huko kuna watu watata sanaa ni waislamu na baadhi yao ni magaidi kama unakumbuka wale madogo waliolipua Boston marathon kama unazo kumbu kumbu wanatoka huko Caucus.

Wanaongea lugha yao ya kiu caucas na warusi wanatamka (kafkaz).
Hawa jamaa wanataka sana kujitenga ila Putin hataki kabisa wakitenge.
Kwa sababu anaogopa influence ya usa na mataifa ya europe kwa nchi zinazomzunguka.

......
Aisee ndugu yangu bora uulize swali moja moja manake naweza kukuandikia kitabu hapa nikakuchosha bure
 
Ndio nini hio?
Maana yake ni nyani kwa kirusi.
Mkuu historia ya urusi naifahamu sana . Na ni pana sana.
Nitakueleza kwa kifupi sana ndio maana nikarizevu space hapo kwa kuandika neno moja abiziana.
Nitakuja ku edit na kukupa info about Russia.
Kwanza dream ya mwanamke wa kirusi ni kutembea na mtu mweusi
 
Umeshawahi kuishi Russia?
 
Ntakuwa nauliza maswali. Usijibu kwa kifupi.
 
Mi nimesika kuwa kwa jinsi huko Russia watu wanavyokunywa sana vodka
hadi kunywa beer na kuendesha gari kulikuwa ni legal kisheria hadi miaka michache iliyopita
ndo wameanza kuona beer ni pombe..
wao beer ilikuwa kama soda tu...
 
Hizo Safari Lagaer zetu ni soda kwao.
 
Umeshawahi kuishi Russia?
Miaka nane na nusu.
Nimeishi Russia -moscow na caucus ( ni jimbo la russi lina vurugu kama kosovo) huko watu wanamjua 2 pac kwa sababu ni mwislamu na wao ni waislamu.
Mtu mweusi wakikuona wanataka uimbe mistari ya 2 pac.
Pia kazakhstan nimeishi nchi za ussr zilimeguka, nikaenda hadi ukrain na poland. Pia uzbekstan na abhazia yale majimbo aliyoyachukua Putin kutoka Georgia.
Ila moscow ndio nimekaa sana.
Baridi lake linafika hadi minus 39
 
Warusi wabaguzi hao......Wanajua sana kuwarushia Ndizi Wachezaji mpira wenye Asili ya kiAfrika...
Kuna timu moja hivi ya football(jina limenitoka) wamepiga marufuku mchezaji yeyote wa kiafrika kujiunga na timu hiyo.....
 
Sio kama mnavyoaminishwa.
Ni kama ushawahi kuambiwa kuwa tanga kuna uchawi ukikanyaga gunzi linakuongelesha.
Ila ukifika tanga hakuna kitu kama hicho.
Ubaguzi upo ila sio kwa extent ya mtu kushindwa kuishi.
Oooh mimi nimeisha shuhudia mchezaji mpira anatupiwa ndizi tena siyo mmoja...
 
Miaka nane na nusu.
Nimeishi Russia -moscow na caucus ( ni jimbo la russi lina vurugu kama kosovo) huko watu wanamjua 2 pac kwa sababu ni mwislamu na wao ni waislamu.
Mtu mweusi wakikuona wanataka uimbe mistari ya 2 pac.
Pia kazakhstan nimeishi nchi za ussr zilimeguka, nikaenda hadi ukrain na poland. Pia uzbekstan na abhazia yale majimbo aliyoyachukua Putin kutoka Georgia.
Ila moscow ndio nimekaa sana.
Baridi lake linafika hadi minus 39
Urusi kuna ubaguzi? Kwa kiasi gani? Upo maeneo gani hasa?
 
Russia ni nchi kubwa sana na ina majimbo mengi ambayo yanatofautiana masaa na hata tamaduni zake zinatofautiana japo wote ni warusi na wanaongea kirusi.

Kuna majimbo kama caucus kusini mwa Ru huko kuna watu watata sanaa ni waislamu na baadhi yao ni magaidi kama unakumbuka wale madogo waliolipua Boston marathon kama unazo kumbu kumbu wanatoka huko Caucus.

Wanaongea lugha yao ya kiu caucas na warusi wanatamka (kafkaz).
Hawa jamaa wanataka sana kujitenga ila Putin hataki kabisa wakitenge.
Kwa sababu anaogopa influence ya usa na mataifa ya europe kwa nchi zinazomzunguka.

......
Aisee ndugu yangu bora uulize swali moja moja manake naweza kukuandikia kitabu hapa nikakuchosha bure
Huwezi nichosha mkuu.
Kila mwaka napenda kutenga muda wangu kujifunza kitu kuhusu nchi fulani.
Na 2017 ni zamu ya Russia.
Kwahiyo wewe andika chochote kuhusu Russia, ntasoma na kuzidi kujifunza.
 
[QUOTkikavaria, post: 18946586, member: 295384"]Huwezi nichosha mkuu.
Kila mwaka napenda kutenga muda wangu kujifunza kitu kuhusu nchi fulani.
Na 2017 ni zamu ya Russia.
Kwahiyo wewe andika chochote kuhusu Russia, ntasoma na kuzidi kujifunza.[/QUOTE]
Kama kila mwaka unatenga muda wa kujifunza nchi moja moja sijui mpaka sasa ushajifunza nchi ngapi, au kama ndo unaanza haya mafunzo mema maana mpaka uimalize dunia nzima kazi ipo
 
Back
Top Bottom