sweetlady
JF-Expert Member
- Dec 24, 2010
- 16,947
- 8,409
25/10 naenda kumpa kura yangu fisadi na hiyo pepo siitaki.
Amina bukoba boy mimi pia kura yangu ni kwa EL.... haijalishi ame/ata fanya nini, tuntaka kuiondoa ccm madarakani kwanza afu mengine ni baadae... hakuna fisadi anaemzidi bab riz
Last edited by a moderator: