Televisheni ya Star TV yatuhumiwa kuchochea vurugu kwa kumkashifu Edward Lowassa

Nimepita kijiweni muda huu, watazamaji wengi wa televisheni wamekerwa sana na kitendo cha Startv kufanya kampeni za ccm badala ya kutoa taarifa za ukweli... Startv, TBC na Channel 10 siyo vyombo vya habari vinavyoaminika siku za havi karibuni
 
Ikitokea Kituo hicho kikavamiwa pengine na kutokea uhalifu mwanzishaji wa uzi huu na Mwananchi Said Yusuph watarahisisha kusaidia vyombo vya dola kuwakamata wahalifu ili sheria ichukue mkondo wake

Huna mamlaka ya kumtisha yeyote kwa upuuzi unaofanywa na kituo hiki.Wala huna uwezo wa kuzuia wananchi kuelezea hisia zao.Kinachofanywa na StarTV hakikubaliki popote penye ustaarabu wa kidemokrasia
 
Kwa hiyo kituo binafsi ni halali kuhubiri chuki dhidi ya mtu mwenye wafuasi wa kindi flani?

Tume ya uchaguzi kwa kutochukulia hatua kituo cha Startv imetuaminisha kwamba kweli inafanya kazi ya ccm, bahati mbaya ccm wanaobebwa wameshindwa kubebeka
 
ICC kupo empty hamna kesi kule msimu huu! kuna raia watakuja kuzombwa na ma scania huku kupelekwa kule wakanyee debe!

Wanachokifanya startv haina tofauti na kile kilichokuwa kikifanywa na kile chombo cha habari cha rwanda 1994. Diallo anataka kuleta machafuko
 
Molemo

Siwezi kuangalia channel hii ya KIPUUZI ya kada wa CCM.Kura tutalinda sana

Molemo tutawaambia ndugu, jamaa na marafiki zetu wasusie hiyo televisheni kwasababu ipo kwaajili ya kuturudisha utumwani, tutaondoa na matangazo yetu mikataba ikiisha.. hawawezi kuzuia mabadiliko kwa kudanganya watu
 
Last edited by a moderator:
Dialo atambue kuna maisha baada ya siasa na tv yake iko kibiashara na watu anaowategemea kupeleka matangazo kwake ni watu wa itikadikadi tofauti asije lia na kusaga meno hapo baadae,yeye akubali tu kutumika kama big G.


Naona anguko la Sahara media baada ya Uchaguzi Mkuu. wakubwa mmeshanielewa
 
Molemo tutawaambia ndugu, jamaa na marafiki zetu wasusie hiyo televisheni kwasababu ipo kwaajili ya kuturudisha utumwani, tutaondoa na matangazo yetu mikataba ikiisha.. hawawezi kuzuia mabadiliko kwa kudanganya watu

Tulikiamini sana hiki kituo kumbe kipo kichama zaidi.
 
Last edited by a moderator:
Hata mimi sasa nitaanza kuhamasisha watu waanze kukipuuza kituo hiki kama ilivyofanyika kwa TBC

Mie nna karibu mwezi sasa siangalii star tv, na toka waanze hizi propaganda za kizamani nimeanza rasmi kushawishi watu waisusie, nashukuru Mungu wananielewa sana na tunaendelea kuhamasishana
 
We will go with Lowassa no matter what!! CCM imekosa sera imekosa busara, wacha watumie propaganda za kibaguzi kwenye media, Lowassa has our backing already..
 
Nimeota, kutokana na haya Star TV wanayoyafanya wanakiweka mahali pagumu sana kituo hiki na yaweza tokea kwakituo kitachomwa moto

wanawapa wakati mgumu sana waandishi wao kipindi hiki cha kampeni,natabiri tu kwamba muda so mrefu uongozi utasitisha matangazo ya moja kwa moja kwa kuhofia usalama wa wanahabari wake....tumeona Jana mitandai imeripoti mmoja kachezea kichapo had I meno kutoka na vifaa kuharibiwa....sijui kama uongozi wanafanya analysis ya chuki inayo-build-up
 
wanawapa wakati mgumu sana waandishi wao kipindi hiki cha kampeni,natabiri tu kwamba muda so mrefu uongozi utasitisha matangazo ya moja kwa moja kwa kuhofia usalama wa wanahabari wake....tumeona Jana mitandai imeripoti mmoja kachezea kichapo had I meno kutoka na vifaa kuharibiwa....sijui kama uongozi wanafanya analysis ya chuki inayo-build-up

hilo diallo halimhusu Mkuu. yeye ana piga hela tu, usalama wa wafanyakazi wake haumhusu yeye.
 
Tatizo kubwa wanafanya upotoshaji mkubwa ambao hauwezi kuvumiliwa.Wamekuwa wakitoa matangazo ya moja kwa moja kwenye mikutano ya Magufuli ambayo wanatumia watu kama kina Mwigulu Nchemba na Yusuph Makamba kutukana tena kwa matusi mgombea wa UKAWA Edward Lowassa.

Wamekuwa pia wakifanya vipindi kadhaa vya mahojiano vya upande mmoja vyenye lengo la kumtukana na kumkashifu Edward Lowassa kinyume kabisa na maelekezo ya TCRA

Wameona haitoshi sasa wanaandaa kabisa na matangazo ya kuchochea udini ili Edward Lowassa asichaguliwe.

Tunachoshangaa TCRA mamlaka ya utangazaji imekaa kimya kabisa ina maana wanaunga mkono upuuzi huu.Pia Tume ya Taifa ya uchaguzi imekaa kimya kabisa kuonyesha pia wanaunga mkono ushenzi huu.

Hili halikubaliki asilani.

Molemo ninachiamini ni kwamba ccm imekufa tanzania, inasubiri kuzikwa rasmi oct 25, watanzania wengi wanaamini hivyo na wanasubiria huo msiba kwa hamu kuu uhitimishwe rasmi.. sasa usifikiri itakuwa kazi rahisi kuelekea kwenye hayo maziko.. lazima tukumbane na vikwazo vingi mno kikubwa tusikate tamaa, yes tusikate tamaa kwasababu kubwa moja

Watanzania wengi wanaelewa kila aina ya hujuma inayofanywa dhidi ya mabadiliko, wengi sana amini nakuambia, wengi pia wanaponda mno hizo propaganda zinazofanywa na star tv, yaan wanahasira sana na hicho kituo ... kama kuna mtanzania atabebwa na hizo propaganda akaamua kusitisha safari yake ya mabadiliko basi ni mmoja kwa mia... Tunamshukuru Mungu bado yuko upande wetu wanyonge.. hawawezi kuzuia mabadiliko hata iweje.. wakati ndio huu na umeshawadia.. waacheni wajaribu kutapatapa manake maji yamewafika shingoni... ni haki yake mfa maji kufa huku akitapatapa... ccm ni wafa maji
 
Last edited by a moderator:
nashangaa mkutano wa edo jana dodoma star tv walimulika jukwaa kuu na kutoonesha kabisa umati uliojitokeza

Hahaha.. wivu uliwajaa, hivi hata kama ni wewe ungewezaje kuonyesha watanzania ule umati? Wamelipwa kuminya habari za UKAWA kwa namna yoyote ile ila tatizo wamesahau kuna utandawazi sikuhizi... yaan kabla ya habari watanzania karibu wote tulikuwa tumepata picha za EL za dom.. tumeushuhudia umati wa wapendwa wa EL kwahiyo star tv wasifikiri kwamba wamezuia chochote teh teh... zaidi sana tunawapuuza na kuwadharau manake wamefikwa bei !
 
Nilikichukia kituo hiki,,toka nilipoona uchochezi huu,taarfa ya habari siiangalii tena maana ni TBC 3
 
Back
Top Bottom