Televisheni ya Star TV yatuhumiwa kuchochea vurugu kwa kumkashifu Edward Lowassa

mwenyekiti wa Ccm mkoa wa dodoma ni team lowasa rohoni japo anavaa manguo ya kijani,ni yeye,nchimbi,na mama mmoja mjumbe wa kamati kuu ndio walijitoa mhanga NA kuweka msingi wa upepo huu mkali unaokaribia kung'oa mbuyu,kuna maelfu ya wana Ccm ambai kura zao zitaenda kwa lowasa,wakiwemo wajumbe wa kamati kuu,NEC,NA mkutano mkuu

Asante sana kwa taarifa hizi nzuri na za kupendeza kusikia... ndio maana ccm na washirika wao bora watulie tu tuwanyoe taratiiiibu kwasababu hakuna mtanzania anaetaka kuwasikia tena ccm nchi hii... sasa wao wanafikiri wakihangaika ndio watfanikiwa, mwaka huu hakuna goli la mkono wala la kisigino yaan watulie tu kwakweli ... wanavyozidi kumchafua EL ndio na sisi tunazidi kupata hasira na kutamani oct iwe ndio leo ili tuwaonyeshe maana halisi ya
LOWASSA ATOSHA!
LOWASSA FOR 2015....
TUNA IMANI NA LOWASSA ...
 
Dialo ni ------ sana, ila Mwaka huu wataisoma namba, hata wakiweka jiwe na CCM nitapiga kura yangu kwenye jiwe, siwezi kuendelea kuichagua ccm kamwe
 
Nilipoona Tangazo hili la Star Tv likinuhusisha Lowassa na Mwalim Nyerere kuhusu udini nilikua na maswali haya;
1: huyu mmiliki wa star Tv anajua kuna maisha baada ya uchaguzi?
2: hivi kwanini Star Tv wameamua kufsnya uchochexi unaojenga chuki na hasira kwa jamii?
3: hivi kwanini TCRA na Tume ya Uchaguzi wamekua viziwi, mabubu na vipofu kushindwa kuchukua hatua dhidi ya ccm na star Tv?
4: Je ccm na Star Tv wanaamini watanzania wanaweza kuichagua ccm kwa sababu ya matangazo haya ya kibaguzi na kuudhi?
5: hivi mh Lowassa akishinda nini nafasi ya Star Tv baada ya uchaguzi?
6: kwa nini ccm na star Tv wameshindwa kueneza sera na kuwambia watanzania kwanini nchi yetu Tanzania baada ya miaka 50 ya uhuru bado tuna majanga ya ugisadi, umaskini, ujinga, maradhi na huduma mbovu za jamii kama maji, afaya umeme miundo mbinu na kadhalika?
7: Hivi ccm hawajui kwamba watanzania wanataka mfumo kubadilika? Hivi ccm na star Tv hawsjui kua ccm imeshindwa kufanya mabadilko kwa miaka 38 iliyokua madarakani?
8: hivi nani atawajibika nguvu ya umma ikichukua hatua dhidi ya Star Tv?
9: Antony Diallo anafaidika vipi kumkashifu na kumbagua kwa udini ndugu Lowassa? Kwa kupitia star Tv
10. Hivi CCM mmekosa sera za kuwambia watanzania?

Wito
Kwa NEC na TCRA - endeleeni kua vipofu, viziwi na mabubu kwa uchochezi wa star TV lkn tambueni kua watanzania wameamka.

Ccm endeleeni na maji taka haya lkn tambueni watanzania wameamuka hakuna mtanzania mwenye akili timamu ataichagua ccm kwa sababu ya matangazo yenu ya majitaka ya star tv
Diallo umeshusha heshima ya Star Tv na wewe mwenyewe

Ukawa na Lowassa endeleeni kuwambia watanzania majawabu ya matatizo yao baada ya ccm kushindwa kutatua matatizo hayo miaka 38 ya kuunda madaraka. Wapuuzeni star Tv na Ccm kwa kueneza chuki.
Tanzania ina mimba ya mabadiliko hakuna mwenye nguvu ya kuzuia mabadiliko.

Lowasssa watanzania wanakupenda na watakuchagua.

Star Tv onyo kwenu gharama ya chuki na ubaguzi itawagharimu, mbegu mnayopanda itawarudia malipo ni hspahapa duniani
 
umempa jibu linalomfaa

Wakati wa Uchaguzi Viongozi wa ccm huwa wanaweka Akili zao mfukoni na uchaguzi ukiisha zinawarudia!

1. Mwaka 1995 ccm ilituambia Nccr ni chama cha Mashushu wa ccm kikasambaratika

2. Mwaka 2000 ccm ikatuambia cuf ni chama cha kidini kinaendeaha siasa misikitini( hapa Tiss walikaa kimya ccm ikashinda)

3. Mwaka 2005 ccm ilituambia cuf ni chama cha wapemba,( ukabila) huku ikitumia siasa ya ukabila kumwengua Dr.salm Ahmed Salim na pia Bashe wa Nzega,( ccm ikashinda)

4. Mwaka 2010 chadema ikaambiwa chama cha wachaga,wakristo,na baadae Ukanda na ikimtusi Dr.slaa kuwa mzinzi,hafai,ameasi kanisa, namengine mengi( ccm ikashinda kwa shida)

Mwaka 2015
Imekuja na ajenda mpya za Lowassa

Inasema Lowassa Fisadi huku ikimlea na kumpa vyeo,
Huku leo inatengeneza CD za kuonesha Loeassa mdini,
Inanishangaza kwa sababu hivi chadema eakiamua kuzunguka nchi nzima wakionesha machafu yoite ya ccm,je watavumilia?
Dewji tajiri Msukuma mwenye helkopita tatu
1. Tajiri( huku ikisahau Gacchuma M/ kiti Mkoa wa mara alivyotajiri ccm), Madanida Mwenye MaUDA na ki
 
Diallo ajue tun kuwa kwa kuendesha siasa za majitaka Oct 25 sisi wanamwanza tutakachofanya ni kuifuta ccm Mwanza ndio malipo yake asubiri atakiona cha Mtema kuni
Mwanza hatuna ukabila wala Dini

NYO;13963500]Nilipoona Tangazo hili la Star Tv likinuhusisha Lowassa na Mwalim Nyerere kuhusu udini nilikua na maswali haya;
1: huyu mmiliki wa star Tv anajua kuna maisha baada ya uchaguzi?
2: hivi kwanini Star Tv wameamua kufsnya uchochexi unaojenga chuki na hasira kwa jamii?
3: hivi kwanini TCRA na Tume ya Uchaguzi wamekua viziwi, mabubu na vipofu kushindwa kuchukua hatua dhidi ya ccm na star Tv?
4: Je ccm na Star Tv wanaamini watanzania wanaweza kuichagua ccm kwa sababu ya matangazo haya ya kibaguzi na kuudhi?
5: hivi mh Lowassa akishinda nini nafasi ya Star Tv baada ya uchaguzi?
6: kwa nini ccm na star Tv wameshindwa kueneza sera na kuwambia watanzania kwanini nchi yetu Tanzania baada ya miaka 50 ya uhuru bado tuna majanga ya ugisadi, umaskini, ujinga, maradhi na huduma mbovu za jamii kama maji, afaya umeme miundo mbinu na kadhalika?
7: Hivi ccm hawajui kwamba watanzania wanataka mfumo kubadilika? Hivi ccm na star Tv hawsjui kua ccm imeshindwa kufanya mabadilko kwa miaka 38 iliyokua madarakani?
8: hivi nani atawajibika nguvu ya umma ikichukua hatua dhidi ya Star Tv?
9: Antony Diallo anafaidika vipi kumkashifu na kumbagua kwa udini ndugu Lowassa? Kwa kupitia star Tv
10. Hivi CCM mmekosa sera za kuwambia watanzania?

Wito
Kwa NEC na TCRA - endeleeni kua vipofu, viziwi na mabubu kwa uchochezi wa star TV lkn tambueni kua watanzania wameamka.

Ccm endeleeni na maji taka haya lkn tambueni watanzania wameamuka hakuna mtanzania mwenye akili timamu ataichagua ccm kwa sababu ya matangazo yenu ya majitaka ya star tv
Diallo umeshusha heshima ya Star Tv na wewe mwenyewe

Ukawa na Lowassa endeleeni kuwambia watanzania majawabu ya matatizo yao baada ya ccm kushindwa kutatua matatizo hayo miaka 38 ya kuunda madaraka. Wapuuzeni star Tv na Ccm kwa kueneza chuki.
Tanzania ina mimba ya mabadiliko hakuna mwenye nguvu ya kuzuia mabadiliko.

Lowasssa watanzania wanakupenda na watakuchagua.

Star Tv onyo kwenu gharama ya chuki na ubaguzi itawagharimu, mbegu mnayopanda itawarudia malipo ni hspahapa duniani[/QUOTE]
 
Waungwana wanasema usirushe mawe wakati umekaa nyumba ya vioo. Diallo, ccm na star Tv angalieni chuki na hasira mnayoeneza dhidi ya mabadiliko na Lowassa
 
Sasa yeye anafanya biashara je kama wamelipia tangazo yeye afanyeje na kwani ni kweli wenye matangazo star tv ni ukawa? Au ukiacha kuangalia chombo flani cha habari unamkomoa nani.
 
Baada ya kuapiswa , Lowasa funga stv tuone watafanyia wapi jeuri yao ya ccm
 
tambua kwa sio kila mtu anaweza kuwa RAIS wa nchi hii
RAIS wa nchi hii ni "LAZIMA" atoke CCM
ivyo basi MAGUFULI NDIYE RAIS WAKO...

Naamini kumbe dini inasingiziwa mengi. Ukisema ABALIKIWE anayesema Luwasa fisadi hizo si baraka hata kidogo. Naamini yeyote anaweza kuwa raisi wa nchi hii. Tumesikia tangu 2007 Luwasa fisadi lakini tunajua mafisadi wanatakiwa kuwa wapi na kama hayupo sehemu husika basi neno ufisadi unabaki kuwa kibwagizo. Akili za watanzania wengi zinajiuliza fisadi ni nini au ni tofauti na wanavyo soma mashuleni? Mbona tunasoma matumizi mabaya ya ofisi ni ufisadi na anayefanya hivo anashtakiwa na kufungwa ila siku hizi tofauti tangu 2007 mpaka 2015 wimbo ule ule na hakuna mwisho au ni sera za sisiem kwa ajili ya raia wa sisiem kataka nchi ya Tanzania yenye raia wa Tanzania?. Ninacho amini usisubili mtu mpaka aujue ubaya wako kwanza ndo ubadili ubaya wako kwake. Tanzania na watanzania AKILI ZAO ZINABADILIKA na katika positive way.
 
POVU LA NINI MKUU!!!! TV stations zipo nyingi na tena zinaonyesha programmes kwa wakati tofauti tofauti KAMA UNA PESA NA UNATAKA KULIPIA HABARI UNAYOIPENDA hawa jamaa sidhani kama watakunyima AIR TIME.. HALAFU kama umedata vile kwani...SIO Lazima ungalie STAR TV........ hauwezi kuulazimisha umma na wanajamii kupendelea unachapenda wewe... STAR TV wameshaisoma namba wagundua washabiki wake wengi wanapenda habari fulani .....

Kama mtu anaishi nyumba ya Orofa chini kuna mafuriko raia wenzako wanaangamia wewe utazema wacha wafe coz wewe upo nyumba isiyojua mafuriko? Fikiri kwa kutumia walau akili kiduchu uliyozaliwanayo.
 
Wakati wa Uchaguzi Viongozi wa ccm huwa wanaweka Akili zao mfukoni na uchaguzi ukiisha zinawarudia!

1. Mwaka 1995 ccm ilituambia Nccr ni chama cha Mashushu wa ccm kikasambaratika

2. Mwaka 2000 ccm ikatuambia cuf ni chama cha kidini kinaendeaha siasa misikitini( hapa Tiss walikaa kimya ccm ikashinda)

3. Mwaka 2005 ccm ilituambia cuf ni chama cha wapemba,( ukabila) huku ikitumia siasa ya ukabila kumwengua Dr.salm Ahmed Salim na pia Bashe wa Nzega,( ccm ikashinda)

4. Mwaka 2010 chadema ikaambiwa chama cha wachaga,wakristo,na baadae Ukanda na ikimtusi Dr.slaa kuwa mzinzi,hafai,ameasi kanisa, namengine mengi( ccm ikashinda kwa shida)

Mwaka 2015
Imekuja na ajenda mpya za Lowassa

Inasema Lowassa Fisadi huku ikimlea na kumpa vyeo,
Huku leo inatengeneza CD za kuonesha Loeassa mdini,
Inanishangaza kwa sababu hivi chadema eakiamua kuzunguka nchi nzima wakionesha machafu yoite ya ccm,je watavumilia?
Dewji tajiri Msukuma mwenye helkopita tatu
1. Tajiri( huku ikisahau Gacchuma M/ kiti Mkoa wa mara alivyotajiri ccm), Madanida Mwenye MaUDA na ki

Architect wa hayo yote CCM alikuwa ni fisadi lowasa na Genge lake wao ndiyo waliosema Salimu alihusika na mauaji ya Karume, na Udini fisadi Lowasa na Genge lake ndiyo waliouasisi na ndiyo maana ameupeleka hata huko chadema!
Na unaposema CD imetengenezwa unamaanisha nini? Kwamba yale maneno fisadi Lowasa hakuyatamka hakuyasema?

Sasa yeye anafanya biashara je kama wamelipia tangazo yeye afanyeje na kwani ni kweli wenye matangazo star tv ni ukawa? Au ukiacha kuangalia chombo flani cha habari unamkomoa nani.

kwa hiyo star TV wakipelekewa tangazo kwamba wanatafutwa watu wa kufanya shughuli za ujambazi au kukata viungo vya albino wao watarusha tu kwa kuwa wanafanya biashara? ila kwa akili za menejment yao wanaweza kurusha
 
hawa si walikuwa ofsi moja Ubungo dk za mwisho? Moja Top Boss mwingine Asst. Chuki ya nini sasa?
 
tambua kwa sio kila mtu anaweza kuwa RAIS wa nchi hii
RAIS wa nchi hii ni "LAZIMA" atoke CCM
ivyo basi MAGUFULI NDIYE RAIS WAKO...

Kama ingekuwa ni lazima atoke ccm basi angekuwa kasha apishwa ila kama bado anazunguka kuomba kura tena kwa nguvu nyingi basi kati ya waliogombea yeyote ana nafasi sawa na mwingine. Enzi za sisiem lazima itoe rais zimeisha myaka ya 1999 mpaka 2005 kinachoonekana sasa ni tofauti. Na waamini wasiamini matangazo ya star tv na redio free hayatawaponya hata kidogo mwaka huu.
 
Back
Top Bottom