Telekinesis

Nimekusoma ngoja tuone kama yaliyomo bado yamo
Huu uzi nimeukuta humu baada ya kusoma mtandaoni vitabu mbali mbali kuhusu haya mambo,

Ni baada ya kureason mechanism behind ktk utoaji wa mapepo,
Imenichukua muda mrefu sana kupata haya maarifa,

Now nimekuelewa,
Findings zangu na zako zinafanana.

Now naanza kukuelewa.
 
 
Ukiweza share nasi machache tafadhali

Jr
 
Sasa Mshana unataka kusemaje kwa wale watu ambao wana hali fulani ya mtu kufahamu mambo ya mtu pasipo kuwepo mfano upo sehemu x kuna mtu unaongea nae lakini utakavyo toka sehemu hiyo na kwenda sehemu nyingine na kukutana na mtu mwingine anazungumzia yale ambayo mlikuwa sehemu x ambapo mtu huyo hakuwepo sasa amejuaje au kuna nguvu fulani inayotumika?
 
Hiyo ni yale mambo ya jicho la tatu nitakufutia mada yake

Jr
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…