Kang
JF-Expert Member
- Jun 24, 2008
- 5,701
- 2,613
Telegram imepoteza kesi yake mahakamu kuu ya Urusi na imeambiwa itoe encryption key/funguo za msg zake kwa vyomba vya usalama vya Urusi, sivyo itafungiwa nchini humo.
Funguo hizo zitaruhusu vyombo hivyo vya usalama vya Urusi kusoma msg zote za kawaida za Telegram.
Telegram haitumii end-to-end encyption kwa msg zake za kawaida hivyo msg za watumiaji zinaweza kusomeka na yoyote mwenye funguo hizo.
Hii ni tofauti na WhatsApp/Signal ambayo inatumia end to end encryption kwa hiyo hata wao WhatsApp hawana funguo za kusoma msg za watumiaji na hawawezi kumpa mtu yoyote funguo hizo hata wangetaka.
Telegram told to give encryption keys to Russian authorities