Telecommunications.(mawasiliano)

Telecommunications.(mawasiliano)

Katekista

Member
Joined
Nov 12, 2016
Posts
32
Reaction score
35
Hivi hakuna special color code za kila mtandao wa simu? Upande wa minara yote nguzo zake naona rangi nyekundu na nyeupe. Nitajuaje kama ni mnara wa tigo, airtel au vodacom?
 
Tuanzie hapa unavyosema minara yote je Minara ya ttcl unaijua rangi yake ????
Rangi nyekundu inaonekana sana na kwa wepesi kushinda rangi zote ukiwa angani,na ndio mana hata zile taa zinazofungwa juu kwenye minara huwa ni nyekundu kwa ajili ya usalama wa vyombo vinavyotumia anga..
Usije kuuliza kwanini rami nyeusi
 
Nashukuru, kwa hiyo unataka kusema sababu ni kuonekana tu? Taa ile nyekundu sawa ila haya mamilingoto ya chini ddah! Ngoja nipate na mawazo mengine.

Kwanza ni sheria ya tcra,pili rangi nyekundu inaonekana sana ikichanganywa na nyeupe na sababu kubwa ya kuweka hizo rangi ni kwa ajili ya vyombo vya anga vinavyopita juu,ukiacha ile rangi ya chuma unazani kitatokea nini mkuu..
sababu za kitaalamu zaidi ntakuchanganya ubongo😂
 
Back
Top Bottom