hatuzungumzii majina ya chuo
taaluma ndo kila kitu kama we ni prouct ya TEKU ukienda kuomba kazi usiongozane na mtu wa vyuo vingine kama mzumbe,tumaini,UDS, nk otherwise utakosa kazi,Kwa taarifa yako kuna graduaters wa TEKU TRA
Huo ni ushabiki tuu sema watz tunachoangalia ni majengo lakini si ubora wa elimu, kweli TEKU majengo mazuri haina ila elimu hapana chezea, mwalimu wa TEKU na vyuo vingine wana tofauti kubwa sana ulizia.
Tanzania haina watu walio elimika vya kutosha, hata kuwa na fikra zinazo onyesha Tanzania kuna wasomi. Hapo mabishano yanatokea si wa TEKU wala UDSM anayeonekana anatoa point yenye mwelekeo wa elimu pevu.