first year teku wapagawa baada ya account zao kucheka ila kali kuliko yote jumamosi ndo mpango mzima wanawakaribisha wote katika WELCOME NJUKA WA CHUO 02/11/2013
Bishaneni majina ya chuo weee mkichoka fainali mtaani ndo itajulikana nani mfanyakazi na nani kibarua,wadogo zangu msitishwe na majina ya chuo wapo walosoma hivo wanavoringishia mtaani still wanasota,hivo wanavoviita vya kata mambo safi,simama imara
hatuzungumzii majina ya chuo
taaluma ndo kila kitu kama we ni prouct ya TEKU ukienda kuomba kazi usiongozane na mtu wa vyuo vingine kama mzumbe,tumaini,UDS, nk otherwise utakosa kazi
Bishaneni majina ya chuo weee mkichoka fainali mtaani ndo itajulikana nani mfanyakazi na nani kibarua,wadogo zangu msitishwe na majina ya chuo wapo walosoma hivo wanavoringishia mtaani still wanasota,hivo wanavoviita vya kata mambo safi,simama imara
Hayo ni maneno ya kujiconfort tu mkuu,utofaut upo tena mkubw sn.Inaonekana na ww upo kwny mkondo huohuo bt ukwel utabak palepale Teku n chuo cha Kata,UDSM kwa wny Brain kubwa.
Tanzania haina watu walio elimika vya kutosha, hata kuwa na fikra zinazo onyesha Tanzania kuna wasomi. Hapo mabishano yanatokea si wa TEKU wala UDSM anayeonekana anatoa point yenye mwelekeo wa elimu pevu.