Teknolojia: Tujadiliane | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Teknolojia: Tujadiliane

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Mtazamaji, Mar 9, 2011.

 1. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #1
  Mar 9, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  • Teknolojia ni nini?
  • Kidunia kwa sasa ni Technlogy gani ni muhimili wa maisha ya kila siku ya watu

  • Ni teknolojia gani unyodhani kwa sasa nimuhimu na unaitumia kila siku kwa maisha ya watanzania?
  • Ni Teknolojia gani kwako binafsi ni muhimu ?

  • Ni teknolojia gani imeleta mabadilko endelevu au chanya Tanzania ?

  • ni teknolojia gani inaongoza kwa kusababaisha maafa na madhara?

  • Ni teknolojia gani amabyo fursa zake unadhani hazijatumika vizuri na kama zikitumika zitaleta mabadiliko chanya hapa kwetu Tanzania . Toa mfano kama unao au fafanua kivipi?
  Nawasilisha kwa mjadala chokonozi teh teh teh
   
 2. redSilverDog

  redSilverDog JF-Expert Member

  #2
  Mar 9, 2011
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 486
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  hilo swali naona kama pana hivi.. kwani usingelenga kwenye tknolojia fulani? au?
   
 3. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #3
  Mar 9, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  yah zipo teknolojia nyingi na kila mtu ana feel fulani kulingana na career yake, uelewa wake na mazingira yake. Utaona hata kwenye jukwaa hili most of the time tunaongelea Simu na mambo ya ICT.

  Niliependa watu wawe free kuongelea anything but kiwe form technological poit of view.
   
 4. Gurta

  Gurta JF-Expert Member

  #4
  Mar 9, 2011
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 2,246
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Teknolojia; neno linalotokana na maneno mawili ya Kigiriki -- technología (τεχνολογία) - téchnē (τέχνη), ufundi, "skill" or "craft" na -logía (-λογία), elimu au mafunzo kuhusu kitu fulani, tawi la elimu (ufahamu?).

  Kama alivyosema mkuu redSilverdawg, ni vigumu sana kujadili teknolojia kama teknolojia. Ni lazima uwe specific kiasi, sababu kuna teknlojia mbalimbali k.v. teknolojia ya elimu, teknolojia ya ujenzi, teknolojia ya kompyuta n.k.

  Ukianza kuiangalia teknolojia utagundua hata ugunduzi wa zana za mawe, moto na hata mavazi na makazi ni teknolojia. Ila matumizi ya neno 'teknolojia' yalianza kubadilika kwenye karne ya 20. Hapo ndipo matumizi ya ya neno hili ndipo yalipoanzan kutumika kwa maana ambayo ipo hata sasa.

  Kwamba, teknolojia ni 'matumizi ya vitendo ya ujuzi (elimu, ufahamu wa jambo) katika eneo fulani'. Mara nyingi ni 'matumizi' ya ufahamu wa kisayansi.
   
 5. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #5
  Mar 9, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  I would like poeple to write anything regarding any technology they know. sio mimi niwalazimishe wangele teknolojia gani. For the sake of this thread it open to technology yeyote ile

  Mmi career yangu ni IT lakini sitaki kulimit mmchangiaji aongelee ICT tu so iwanted people to feel free.

  Nimesoma hata wikipedia na ku google but nimeleta hapa kwa mjadala sababu hili neno ni pana sana
   
 6. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #6
  Mar 9, 2011
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  mkuu unanikumbusha like somo la "Development Studies". Inabidi nikacheki notsi zangu za wakati huo maana kuna prof mmoja alikuwa anashuka sana on this subject.
   
 7. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #7
  Mar 9, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  tekinolojia ya cm ndio tunaitumia sana kwa maisha ya kila siku ya mtanzania ikifwatiwa na computer
   
 8. LD

  LD JF-Expert Member

  #8
  Mar 9, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 3,021
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Technologia ya habari (mawasiliano) ndiyo inatumika zaidi,
  hata mtazania wa kawaida kabisaaaaaaa, mkulima, mfanyabiashara, machinga, mzee, kijana anaitumia.
  Simu na komputa.
   
 9. The Pen

  The Pen JF-Expert Member

  #9
  Mar 9, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 764
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Mimi nadhani ni teknolojia inayohusiana na nishati, hasa ya umeme. Mfano mzuri unaweza kuupata kutokana na hii adha ya mgao wa umeme nchini. Athari za mgao ni nyingi na ziko wazi kabisa -- kiuchumi, kijamii, nk.
   
 10. The Pen

  The Pen JF-Expert Member

  #10
  Mar 9, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 764
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0


  • Ni teknolojia ya nishati m'badala, mfano, uzalishaji umeme kwa kutumia upepo, hydrogen [kutokana na maji (electrolysis of water)], na makaa ya mawe.
   
 11. Zing

  Zing JF-Expert Member

  #11
  Mar 9, 2011
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 1,780
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  Naweza kukubaliana na wewe

  Nimenagalia documentarymoja inaitwa Story of Science power proof and passion . Toka jamaa wanzaa kutumia horse power mapaka jamaa mmoja anaiatwa watt mapaka uholanzi ilivyovumbua wind energy

  itazame hapa YouTube - What Is Out There? - The Story of Science s01e01. Part 1 of 6
   
 12. The Pen

  The Pen JF-Expert Member

  #12
  Mar 9, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 764
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Asante, mkuu! Kwa kweli hili lipo wazi kabisa, na huenda tukijadili zaidi + kutekeleza, tunaweza kufika mbali.
   
 13. The Pen

  The Pen JF-Expert Member

  #13
  Mar 9, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 764
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Na uvunaji wa maji ya mvua nao unaweza kuleta mabadiliko makubwa ktk kilimo na matumizi mengine ya maji.
   
 14. Gurta

  Gurta JF-Expert Member

  #14
  Mar 9, 2011
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 2,246
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  na bado sielewi kwanini sioni jitihada za dhati za uvunaji, civil engineers na architects kweli wanashindwa kuweka plan hizi kwenye projects zao? au clients hawana elimu ya kutosha?
   
 15. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #15
  Mar 9, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Kweli hata kama hakuna wwedha serikali inavyosema. Wakiweka nguvu na reosuce kidogo japo kwenye mikoa ya Kagera na kigoma iliyo na mvua za kutosha basi vijiji vingi vingekuwa na kero ya maji kwa kipindi kifupi kwa mwaka.

  Sina utaalamu na hili kwani uvunaji wa maji uanhitaji vitu gani

  Mfano nyumba yenye watu saba kiijini kanyigo kule bukoba teh teh teh itahitaji nini kuwawezeha kuvuna maji yatayowatosheleza?
   
 16. redSilverDog

  redSilverDog JF-Expert Member

  #16
  Mar 10, 2011
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 486
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  sasa mimi naanzisha ubishani, sisi watu ICT ndo potential wakombozi wa Tanzania!
   
 17. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #17
  Mar 10, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  hahahahahah sidhani kama ni ubishani bali hiyo ni hoja tu uliyanyo.

  enhee tuleze How uing ICT we can make the difference. then we have now?
   
 18. redSilverDog

  redSilverDog JF-Expert Member

  #18
  Mar 10, 2011
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 486
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  kwanza with most services ambazo zinafanywa kwa gharama kubwa Tanzania zinaeza punguzwa kwa management systems zinatengezwa na wataalam wa IT. IT provides a very proper marketting model, and cutting edge technologies providing that competitivve advantage needed!
   
 19. The Pen

  The Pen JF-Expert Member

  #19
  Mar 10, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 764
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Hilo ni kweli. Lkn, mkuu, hebu jiulize ni kwa kiasi gani ICT na sekta nyingine zinaathiriwa na huu mgao wa umeme? Ni kwanini mawasiliano ktk sehemu nyingi za Tz bado ni suala la anasa? Unahitaji nini, kwa mfano, ili server yako ifanye kazi kiufanisi? Je, ulishawahi kusikia khs Google, ambao ni mojawapo ya wadau wakubwa wa ICT, kuwekeza ktk nishati m'badala? Unafikiri ni kwanini wameamua hivyo? Sikupingi, ila najaribu kuhoji khs teknolojia mama.
   
 20. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #20
  Mar 10, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145

  na mm naendeleza ubishi nyie watu ict sio potential kwa ukombozi wa tanzania utashi wenu umetawaliwa/unaongozwa na wanasiasa wasio na elimu ndio mana idara nyingi za serikali zinaendeshwa kianalog kuanzia serikali za mitaa,halimashauri na maofisi mengi sana ya serikali
   
Loading...