Teja msamaria mwema

Teja msamaria mwema

Joined
Dec 3, 2015
Posts
29
Reaction score
3
MZEE: Kijana wangu unaweza kunielekeza mtaa wa Kiyungi
.
TEJA: Dah babu sijawahi kuusikia mtaa huo.

Baada ya dakika chache, yule Teja akaanza kumuita yule babu aliyekuwa kaenda mbali kidogo na babu wa watu akajikongoja akarudi:

TEJA: Babu nimemuuliza rafiki yangu kama anaujua mtaa wa Kiyungi.
BABU: Asante sana kijana wangu, nashukuru sana kwa msaada, anasema uko wapi?
TEJA: Hata yeye anasema hajawahi kuusikia.
 
Back
Top Bottom