Tehran threatens consequences if Switzerland enforces minaret ban

Huyo waziri wa Iran hana hela kwenye account za Uswiss nini ndio maana ana piga makelele...Viongozi wengi wa hapo middle east wako kimya wanajua wakipiga zogo wataambiwa wakatufe sehemu nyingi za kuifadhi hela.
 
Suppose matakwa ya Iran yasipotimizwa watachukua hatua gani? Vikwazo, kuvunja uhusiano wa kidiplomasia, ugaidi, au?
 
absolutely right Absolute, lakini huo uhuru wa kuabudu upo Iran? Mbona wao wanawanyanyasa Baha'is na kuwanyima haki za binadamu kama elimu simply kwa kuwa ni Baha'is....c'm on lets be just here

Sijawahi kufika Iran kwahiyo sina ushahidi kuhusu hili;
Ila kama ni kweli Iran inanyanyasa waumini wa dini nyingine then wahusika (Religious leaders and others) should speak it out-unfold their voice the same Iran did... au sio?
 
Kama una data za kunyanyaswa mtu kwa ajili ya ku-practice his/her believe popote tutakiwa tuwa blame in equal proportion..awe iran, saudia, au uswis Ok

Waswis wanafikiri watu wako kwao kwasababu wana shida sana walikotoka no...wengine ni lazima tuwe nchi zingine kwa sababu za kikazi so lazima tu-practice dini zetu kisawasawa...wao kama hawana dini to hell watakutana na muumba


U simply amaze me unavyopiga somersault hoja zako.
Hii ishu ilishaongelewa sana ukabisha na tukakuleta data na personal testimonies sasa unabisha nini? Ina maana hujui SAUDIA wanabagua dini nyingine kwa kiwango cha kutisha? Kweli i expected uelewa zaidi kutoka kwako...usibishe tu mradi unabisha vinginevyo unajipotezea heshima.
 
U simply amaze me unavyopiga somersault hoja zako.
Hii ishu ilishaongelewa sana ukabisha na tukakuleta data na personal testimonies sasa unabisha nini? Ina maana hujui SAUDIA wanabagua dini nyingine kwa kiwango cha kutisha? Kweli i expected uelewa zaidi kutoka kwako...usibishe tu mradi unabisha vinginevyo unajipotezea heshima.
Personal testimonies haitoshi kuwa ushahidi tosha?
Saudia wanabagua ndiyo nasikia kutoka kwako?
Unajipotezea heshima..Lol sitegemea heshima kutoka JF ninayo tayari kwa jamii na watu wanaotumia utaalamu wangu
 
Many Muslim groups are denouncing the ban as oppression to freedom of religion. However, such Muslim groups will be more credible if they first denounced the oppression of religious minorities in Muslim countries who make it illegal to practice any religion other than Islam.

Muslim groups who claim that they are oppressed in Europe should be the first to stand up and yell "not in the name of my religion" when Churches are burned in Muslim countries. But instead all we hear from Muslim groups is "I am a victim" and "I am offended" while the blood of non-Muslims is being shed in the name of Sharia...
 
Back
Top Bottom