donlucchese JF-Expert Member Mar 23, 2011 17,123 21,872 Jun 11, 2017 #1 Kuna kipindi maisha yanakuwa magumu mpaka unajiuliza au ni zile meseji ulikuwa unaambiwa uwatumie watu kumi unapuuza
Kuna kipindi maisha yanakuwa magumu mpaka unajiuliza au ni zile meseji ulikuwa unaambiwa uwatumie watu kumi unapuuza
Joseverest JF-Expert Member Sep 25, 2013 52,651 71,008 Jun 11, 2017 #2 Teh teh teh...daah umenikumbusha ngoja nizitume
donlucchese JF-Expert Member Mar 23, 2011 17,123 21,872 Jun 11, 2017 Thread starter #3 Joseverest said: Teh teh teh...daah umenikumbusha ngoja nizitume Click to expand...
Galapagosi JF-Expert Member Apr 21, 2017 2,848 2,635 Jun 11, 2017 #5 Hahahahaha zile sms zinalikuwa na mbwembwe.