Mkwe Asprin unawasikia wakwe wa kingoni? kushindwa hiyo kazi ni ngumu sana............ ugimbi mpaka uishe na kazi hiyo ni 100%. kule kwetu hakuna mabango ya mganga wa kuongeza nguvu za ........., wapo kwenye mchakato wa kutafuta dawa za kupunguza, ha haaaaaaaaaaaa