Na hapa ndio linapokuja tatizo linalofanya kusiwe na ndoa siku hizi. Wanawake wanataka kulingana na wanaume kwa kila kitu. Kuna siku tutatakiwa tusaidie kubeba mimba. Lakini mbona hamuombi haki ya kuolewa na wanaume wawili?Wanaume bana, we unagonga wanawake kama kumi huko nje, we kuonjewa tu na mtu mmoja unaua...... Nanyie tutaanza kuwaua hata kwa sumu ya panya!!!
It is a matter of time, nchi zingine mbona polyandry ipoNa hapa ndio linapokuja tatizo linalofanya kusiwe na ndoa siku hizi. Wanawake wanataka kulingana na wanaume kwa kila kitu. Kuna siku tutatakiwa tusaidie kubeba mimba. Lakini mbona hamuombi haki ya kuolewa na wanaume wawili?
[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]Wanaume bana, we unagonga wanawake kama kumi huko nje, we kuonjewa tu na mtu mmoja unaua...... Nanyie tutaanza kuwaua hata kwa sumu ya panya!!!
Huyu ndugu yangu ni msumbufu sana,amenaswa kwenye huu mtego mara mbili ila sasa ameo nafiri ataacha,Duu nafikiri hatakaa arudie
Hahhahahaaaa MKWECHEHuyu ndugu yangu ni msumbufu sana,amenaswa kwenye huu mtego mara mbili ila sasa ameo nafiri ataacha,
Halafu siku hizi kuna huu uchawi mwingine kule kwetu almaarufu kama MKWECHE ambapo ukilala na mke wa mtu jogoo hasimami tena mpaka ufanyiwe mambo flani na wataalamu.
Mkweche ni nomaHuyu ndugu yangu ni msumbufu sana,amenaswa kwenye huu mtego mara mbili ila sasa ameo nafiri ataacha,
Halafu siku hizi kuna huu uchawi mwingine kule kwetu almaarufu kama MKWECHE ambapo ukilala na mke wa mtu jogoo hasimami tena mpaka ufanyiwe mambo flani na wataalamu.