Mssesejunior
Senior Member
- Nov 21, 2014
- 130
- 31
Kwa mtazamo wako ni sheria ipi ambayo Mkombozi imekiuka? Je ulitaka Mkombozi wawaite TAKUKURU, Usalama wa Taifa, CAG na vyombo vingine vya dola vichunguze ndipo wapokee fedha za mauzo ya hisa? Kama benki ilifanya KYC ipasavyo unataka ifanye kipi cha ziada?
well said bubu hebu nitumieaccount yako nikutumie milioni ya vocha
Naona rais hatatimiza maazimio ya bunge,hapa nishaona hawajiuzulu
Wasipojiuzulu bunge litapia no confidence to Prime Minister na wataondoka kwa njia hiyo. Kumbuka hiyo ndiyo ilikuwa hoja ya Mnyika.
Wasipojiuzulu bunge litapia no confidence to Prime Minister na wataondoka kwa njia hiyo. Kumbuka hiyo ndiyo ilikuwa hoja ya Mnyika
hapo mda utakuwa ushaenda itakuwa mpaka mwakani,hata kujiuzulu haina maana tena watakuwa wamebakiza miezi michache kabla uchaguzi haujaanza
Simple like that.
Hata hivyo sitarajii muhusika yeyote ajitokeze na kukiri kuwa alishiriki kutakatisha fedha haramu.
Kwani hizo pesa zilipotoka BOT zilikuwa safi?
Hoja hapo ni walivyotapanya hizo hela bila kufuata STK( sheria, taratibu na kanuni)
muongo akijiuzuru " nchi itatikisika"
Sikubaliani na wewe. Pesa zikishalipwa kwa mdai huhitaji kujua hizo pesa zinatumika vipi isipokuwa kama zinatumika kuvunja sheria.