Tegeta escrow special

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
269,634
697,845
1416717269794.jpg
1416717290531.jpg
 
Ingekuwa ni nchi nyingine tungewabeba tuwapeleke porini wakaishi na wanyama wenzao lakini jinsi walivyo huko tutakuwa tumewapeleka peponi maana wataiba pembe na ngozi za wanyama wetu, aaah sijui tuwahamishie wapi mkuu maana ni kichefuchefu kitupu
 
Tuwapeleke kwa wavimba macho uone kitakachotokea

1:kusimamishwa ajira ndani ya Massa 24

2:kufilisiwa mali zao zote

3:kupelekwa lupango na kufunguliwa mashtaka ya matumizi mabaya ya ofisi, kutowajibika, uzembe, rushwa na uhujumu uchumi

4: Hukumu kutegemeana na kosa ila adhabu ya chini kabisa ni kifungo kisichopungua miaka kumi na kunyongwa kwa wale waliokula kubwa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom