Tecno User Vs Samsung and iphone user

Nilikuwa napenda sana lg na nimetumia sana kuanzia lg v10,lg g3,samsung s5,4 na 3 ila tatizo ni moja hazikai na chaji tena bora Samsung kuliko lg zinapata moto kama zimetoka jikoni.ila saizi nimeamia kwenye iphone 📱 chaji saa 24 halafu data zipo on pia haipati moto gb zakutosha 128 .
IPhone gani? Iyo
 
Unaenda dukani ukiwa na akili zako timamu unanunua tecno .unatoa na hela unalipa tena si ajabu unadai na risiti.
Ndio upungwani wa wabongo wengi we unafikiri kununua kitu cha milioni ndio kujiona tajiri au we ni bora kuliko wengine life is cycle mku kila mtu ana chaguo lake
 
Huku nao Alhamdulillah wako wazima.

Nipo sasa nimejaa tele sasa na sitaadimika tena. Haya uwe na mchana mwema.
Nakuona uko online umebaki na Asilimia ngapi mama lao A.K.A malkia wa Samsung user.

Ngoja waje mpambane ila kiukweli Tecno niliwahi tumia na ikanizingua upande wa Network yaani ukiwa mjini ndio unapatikana nikirudi home ni kama nina kopo tu.

Toka hapo sijawahi tumia tena Tecno aiseee na sitatumia tena. Ilikuwa Tecno C9 hiyo.
Ungepeleka kwa fundi akubadilishie/akuwekee vizuri networking wire simple tuu wala usingejuta kuitumia tecno
 
Ngoja waje mpambane ila kiukweli Tecno niliwahi tumia na ikanizingua upande wa Network yaani ukiwa mjini ndio unapatikana nikirudi home ni kama nina kopo tu.

Toka hapo sijawahi tumia tena Tecno aiseee na sitatumia tena. Ilikuwa Tecno C9 hiyo.
Mkuu iyo simu bado unayo
 
Sawa 1000 IQ naona uko vyema na mawazo yako.
Unabishana hata na ID yako.kimsingi labda niseme umekosea sana kusema wabongo ni mapunguani. Mm niliandika vile coz tecno sizipendi kwa jinsi zilivyo. Hazina ladha. La pili kubali kuwa hakuna mtu hapendi vitu au maisha mazuri tatizo ni uwezo.mtu una uwezo huwezi nunua simu mkebe km hizo tecno. Tatu ukiona mtu kanunua kitu cha gharama kubali tu kakuzidi na ndio pengine mtazamo wake siyo useme anaringa, huo ni umaskini wa akili. Nne usipende kujifariji kwa mitazamo ya kimaskini.
 
Unaenda dukani ukiwa na akili zako timamu unanunua tecno .unatoa na hela unalipa tena si ajabu unadai na risiti.
Unabishana hata na ID yako.kimsingi labda niseme umekosea sana kusema wabongo ni mapunguani. Mm niliandika vile coz tecno sizipendi kwa jinsi zilivyo. Hazina ladha. La pili kubali kuwa hakuna mtu hapendi vitu au maisha mazuri tatizo ni uwezo.mtu una uwezo huwezi nunua simu mkebe km hizo tecno. Tatu ukiona mtu kanunua kitu cha gharama kubali tu kakuzidi na ndio pengine mtazamo wake siyo useme anaringa, huo ni umaskini wa akili. Nne usipende kujifariji kwa mitazamo ya kimaskini.
We ulipatia mkuu ulivyosema hapo juu kwamba" Unaenda dukani ukiwa na Akili zako timamu unanua tecno"
Ebu itafakari vizuri hiyo kauli kwa maana nyingine ni kwamba wote wanaonunua tecno ni vichaa hawana Akili au ni uongo mkuu?

Kwa hiyo mi pekee ndio nimekosea kusema wabongo wengi ni mapunguani?

Au ndio unaleta ule msemo wa Nyani haoni kundule mkuu.

Hitimisho.
Mimi ninaetumia tecno na wewe wa i phone wote ni sawa tu na ndio maana typing yetu ni ile ile tofauti ni kwamba wewe umepigwa pay ndefu kwa kutaka jina la kampuni na mimi pay ndogo kwa sababu matumizi ni yale yale.
 
Samsung mpango mzima, screen angavu na ya kusense fasta si km tecno screen inang'ang'ania vidole, mi pia natumia zote (nina tecno w3 na Samsung j5 2016) na nina mpango wa kununua Samsung J8 ya mwaka huu.
Tatizo la Samsung ni bei tu ndo ghali ila ukweli huwezi kuzikompea na tecno.
Afu hiyo P5 yako ya zamani sana asee nunua mpya tecno camon x ndo angalau unaweza kompea na samsung.
Betri jeeee?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom