Haha...Aisee...150,000/-. Sijui simu nzuri ya hiyo bei mkuu.
BAJETI YANGU NI 150,000/= MKUU.
NICHUKUE IPI?
Wacha tu...tekno sio simu kabisandio kadhia yake hiyo Mkuu. Wenye kuzitumia watumiage tu kwa kweli.
Oooh. Kama hivyo sawa ila sitasita kukuita mtumiaji mbovu wa pesa sababu ni bora ukanunua simu ya uhakika hata kwa gharama kubwa kuliko kujinunulia kitu kisichoeleweka eti kisa ikizingua utaigawa lol.Paragraph yangu ya pili nimeelezea kuhusu hilo kwamba japo hazidumu lakini kwangu ndio the best ikianza kuzingua nampa dogo atumie mi navuta nyingine mupya ukizingatia kila siku zinakuwa Up dated
Haha...Aisee...150,000/-. Sijui simu nzuri ya hiyo bei mkuu.
Si ujipange pange hata 400,000k misimu ya sikukuu kuna offer kibao unaweza pata ka-midrange ka Nokia au Samsung.
Au hata 300,000k hivi Tecno X zile nadhani ziko vizuri kutokana na specs zake
I phone ngapi hiyo unatumia mkuu?Nilikuwa napenda sana lg na nimetumia sana kuanzia lg v10,lg g3,samsung s5,4 na 3 ila tatizo ni moja hazikai na chaji tena bora Samsung kuliko lg zinapata moto kama zimetoka jikoni.ila saizi nimeamia kwenye iphonechaji saa 24 halafu data zipo on pia haipati moto gb zakutosha 128 .
Umeonaeee. Hazina maana hizo simu.Mi nilikuwa natumia Galaxy s2 mwaka 2013 hiyo, akaja dada mmoja akataka nimbadulishie anipe tecno m5 na laki mbili juu. Nikampa.
Ile tecno nilitumia mwezi tayari kioo kishachakaa na kustack.
Akaja jamaa enzi hizo chuon wenye smartphones chuon wanahesabika nikamkamata bei.
Toka siku hiyo tecno sitaki hata kuishikaa.
Wazee wa kukaaa kwenye soketi ya umeme wakija hapa hawatakuelewa mi ni bora simu inisumbue mengine lakini siyo kwenye chaji aseeNilikuwa napenda sana lg na nimetumia sana kuanzia lg v10,lg g3,samsung s5,4 na 3 ila tatizo ni moja hazikai na chaji tena bora Samsung kuliko lg zinapata moto kama zimetoka jikoni.ila saizi nimeamia kwenye iphonechaji saa 24 halafu data zipo on pia haipati moto gb zakutosha 128 .
ILI NIPATE NOKIA_1 ANDROID YABIDI NIWE NA SH. NGAPI?
Hahahaaa. Inapaswa azisifie kwa wale ambao hawajawahi zitumia ila kwa kina sie ambao tushawahi tumia tutampinga vikali aiseee.Wacha tu...tekno sio simu kabisa
iphone 6I phone ngapi hiyo unatumia mkuu?
Tatizo ni chaji tu basi hakuna kitu kinaniboa kama kutumia simu inayoisha chaji kwa nguvu ya upepo.Oooh. Kama hivyo sawa ila sitasita kukuita mtumiaji mbovu wa pesa sababu ni bora ukanunua simu ya uhakika hata kwa gharama kubwa kuliko kujinunulia kitu kisichoeleweka eti kisa ikuzingua utaigawa lol.
Mmmh. Chaji gani unasemea Mkuu?Tecno kioo chake tu na Chaji ndio inanimaliza am in love with Tecno Phone..