monopoly inc
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 5,243
- 11,421
sent by tekno k7Niambie 1000 iQ
Si inafuatana na budget yako ya simu mzee
NI TAFUTE MODELI IPI MKUU?
Hizi xianomi bado mnaziagiza online au zishafika madukani Bongo ?Xiaomi 5s plus nawakilisha
Tecno ilee siyo tecno ya leoNgoja waje mpambane ila kiukweli Tecno niliwahi tumia na ikanizingua upande wa Network yaani ukiwa mjini ndio unapatikana nikirudi home ni kama nina kopo tu.
Toka hapo sijawahi tumia tena Tecno aiseee na sitatumia tena. Ilikuwa Tecno C9 hiyo.
Si inafuatana na budget yako ya simu mzee
Hazinaga maana hizo Mangi. Yaani ni simu nzuri kimuonekano + ukubwa ila nje ya hapo si lolote.Tecno baada ya miez 6 inastack
Hahaaaa. Ndio maana hawakukosea wale waliosema Mwamba ngoma ni lazima avutie kwake.Tecno ilee siyo tecno ya leo
Sio kweliTecno baada ya miez 6 inastack
Paragraph yangu ya pili nimeelezea kuhusu hilo kwamba japo hazidumu lakini kwangu ndio the best ikianza kuzingua nampa dogo atumie mi navuta nyingine mupya ukizingatia kila siku zinakuwa Up datedHazinaga maana hizo Mangi. Yaani ni simu nzuri kimuonekano + ukubwa ila nje ya hapo si lolote.
Mi nilikuwa natumia Galaxy s2 mwaka 2013 hiyo, akaja dada mmoja akataka nimbadulishie anipe tecno m5 na laki mbili juu. Nikampa.Ngoja waje mpambane ila kiukweli Tecno niliwahi tumia na ikanizingua upande wa Network yaani ukiwa mjini ndio unapatikana nikirudi home ni kama nina kopo tu.
Toka hapo sijawahi tumia tena Tecno aiseee na sitatumia tena. Ilikuwa Tecno C9 hiyo.
ππππ ndio kadhia yake hiyo Mkuu. Wenye kuzitumia watumiage tu kwa kweli.Mzk wa tekno utauona ikimaliza mwaka mmoja toka uinunue....yaan hii yangu Mara ijizime,Mara nikiwasha data istucj hadi nireboot,Mara inasearch mambo ambayo sijataka yaan taabu tupu.
HV uko serious kabisa?? Kajifikirie tena mkuu...W4 sio simu ..ikianza kustuck utaipasua kama unahasiraTecno W4 mkuu