Tecno hapa betri ina 5000 MAH unategemea itaisha chaji mapema hivyo mkuu
ππππ πππππ
Mbona unanisemea sa?Mkuh ndio kaitoa chajibnow kuwasha tu ikameza hizo asilimia nusu saa mbele iko na 50%
Mkuh ndio kaitoa chajibnow kuwasha tu ikameza hizo asilimia nusu saa mbele iko na 50%
Hahahaaa. Hapana Mkuu.Hiyo ndio teke no?
ππππ nishaifuta tayari.mwambie atume tena
Hahahaaaa. Nshaifuta ile. πππTumatena screen short tuone mkuu?
Teke No for life
ππππ nishaifuta tayari.
Kumbe ulichelewa kuiona eeee. Pole.
πββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈ
Waambie haoMi ni tecno user na siyo kwamba sijawahi kumiliki samsung hapana ila ilinichosha kutokana na kutaka kunigeuza kuwa teja wa kwenye soketi ya umeme.
Toka nimeanza kutumia tecno hizo changamoto kwangu ni no japo hazidumu sana sometime na mapicha picha yake lakini Tecno is the best kwangu.
---inakaa na chaji 24+ hours kama sina mambo ya kufanya online.
__Camera yake iko vizuri .
__Kioo kikubwa
__Rahisi kuitumia haina mambo mengi.
__Space ya kutosha tu 16GB siyo haba kwa matumizi yangu binafsi.
__bei yake ni kawaida tu kwa mimi mjasiriamali au ata mkulima kuweza kuimudu.
__Upande wa data ni 4G+ na hazina ugumu kwenye upande wa Network setting.
Mnaotuponda watumia Tecno mkuje hapa mtupe Utofauti wa simu zenu.
Mi niko hapa natumiaTecno na hii post mnayoina nimeandika kwa kutumia tecno bila shaka mmeiona haina tofauti na atakaekuja kuandika kwa kutumia Samsung au I phone.
Hapo sawa Jombaa ila sisi wa masaki posta daily tuache tutumie tu Iphone. Ukizingatia kumiliki Iphone x mbili ni sawa na kumiliki IST no. CMkuu napiga sana mishe za bushi chaji na urahisi wa kupatikana network ndio kila kitu kwangu .
Tunataka nyingine ya sasa hivi
ππππππNi pole nini tena braza? tuma basi tuone imefika ngapi Jombaa
Spark 2Usiseme tu unatumia Tecno.
Tupe model yake tufukunyue spΓ©cifications.
Simu siyo jina, ni yaliyomo.