Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 137,322
- 271,656
hii ni kampuni gani na ni bei gani?Xioami tu ndio simu kali
Zingine takataka
Hahaaaaa. Haikuwa mbovu banaaa.Hiyo ilikua mbovu mkuu..mimi nilikuwa na tecno c9, it was perfect
Ngoja waje mpambane ila kiukweli Tecno niliwahi tumia na ikanizingua upande wa Network yaani ukiwa mjini ndio unapatikana nikirudi home ni kama nina kopo tu.
Toka hapo sijawahi tumia tena Tecno aiseee na sitatumia tena. Ilikuwa Tecno C9 hiyo.
Hahahaaa. Nimecheka jamaani lol.Ngoja nimsaidie Ushimen kuweka mdomo wazi kabisa
Eti kama kopo...
Hiki kijembe ni hatarious kabisa.
Mimi naendelea kukomaa na katecno kangu hapa Dada yangu tangu nikatoe dukani April 26, 2016. Bado kako imara kanapiga kazi kwenye sekta muhimu kama mkuu Nchi
Ongera sana mkuu Tecno forever achana na hao wanaonunua simu kwa ukubwa wa majina ya kampuni kwa bei kubwaa na wakati za bei ndogo zipo nyomiiiNgoja nimsaidie Ushimen kuweka mdomo wazi kabisa
Eti kama kopo...
Hiki kijembe ni hatarious kabisa.
Mimi naendelea kukomaa na katecno kangu hapa Dada yangu tangu nikatoe dukani April 26, 2016. Bado kako imara kanapiga kazi kwenye sekta muhimu kama mkuu Nchi
Hahahaaaa. Jamaaani lol.Umeamkaje mama Samsung user
Tecno baada ya miez 6 inastack
Hahahaaaa. Hebu niache Zero. Hahahaaaa.Safi tu vipi umeshatoka kwenye Soketi ?
usipende ku compare simu ya i phone na vitu vya kipuuzi..Mi ni tecno user na siyo kwamba sijawahi kumiliki samsung hapana ila ilinichosha kutokana na kutaka kunigeuza kuwa teja wa kwenye soketi ya umeme.
Toka nimeanza kutumia tecno hizo changamoto kwangu ni no japo hazidumu sana sometime na mapicha picha yake lakini Tecno is the best kwangu.
---inakaa na chaji 24+ hours kama sina mambo ya kufanya online.
__Camera yake iko vizuri .
__Kioo kikubwa
__Rahisi kuitumia haina mambo mengi.
__Space ya kutosha tu 16GB siyo haba kwa matumizi yangu binafsi.
__bei yake ni kawaida tu kwa mimi mjasiriamali au ata mkulima kuweza kuimudu.
__Upande wa data ni 4G+ na hazina ugumu kwenye upande wa Network setting.
Mnaotuponda watumia Tecno mkuje hapa mtupe Utofauti wa simu zenu.
Mi niko hapa natumiaTecno na hii post mnayoina nimeandika kwa kutumia tecno bila shaka mmeiona haina tofauti na atakaekuja kuandika kwa kutumia Samsung au I phone.
Hahahaaaa. Hebu niache Zero. Hahahaaaa.
Toka jana asubuhi mpaka sasa angalia chaji iliyopo.
View attachment 8617471
Wazungu wanawafilisi kwa kuvipa vitu vyao Dhamani ila hakuna cha ziada mkuu.usipende ku compare simu ya i phone na vitu vya kipuuzi..
Hahahaaaa. Walaaaaaaaaaaa.
Siyo kwamba umeilaza kwenye chaji usiku kucha ndio umeichomoa now inasoma hivyo baada tu a kuwasha data na kazama jf
Hahahaaaa. Hebu niache Zero. Hahahaaaa.
Toka jana asubuhi mpaka sasa angalia chaji iliyopo.
ππππ πππππHi sio simu ya kawaida