Tecno t611s

Crispin Nyoni

JF-Expert Member
Dec 11, 2012
413
90
Wakuu simu yangu tajwa hapo juu nikizima haiwaki hadi niisogeze kwenye chaja ipate moto hata kama ilikuwa imejaa halafu ndo inawaka. Tatizo limeanza leo. Je nifanyeje ?
 
Wakuu simu yangu tajwa hapo juu nikizima haiwaki hadi niisogeze kwenye chaja ipate moto hata kama ilikuwa imejaa halafu ndo inawaka. Tatizo limeanza leo. Je nifanyeje ?

.
Si n hii apa
.

.
Basi fanya mpango ununue simu..
.
 
Mkuu ndo hiyo hata mi inakuwaga na shida hii pia. Nijiandae kununua aina gani nzuri kwa net na bei rahisi?

.
Inategemeana na wewe unataka simu iweje.....
Labda unataka simu hz za touch au za qwerty keypad etc....
.
 
Usikonde machine itakuwa imezidiwa nguvu iache baada ya mda kadhaa wengi tunazitumia hizo!
 
Simu kimeo, nunua nyingine..
Sasa hivi tafuta smartphone nzuri ambayo inadumu muda mrefu, wachana na hayo ya long muda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…