Kirikou Wa Kwanza
JF-Expert Member
- May 24, 2013
- 3,564
- 1,992
Planett@ChiefMkwawa, hizo simu za Xiamo bei yake inaweza kuwa Tsh ngapi na kwa hapa Tz zinapatikana wapi?
wapi zinapatikana mkuu?Bei ya Spark K7 ni Tsh 220,000 mpaka Tsh 20,0000 unapata. Bei ya Spark Plus K9 ni Tsh 280,000, 250,000 mpaka 240,000 unapata. Simu hizi Watanzania wengi wanazimudu tatizo jamaa hawaaminiki...
Yaani nikisikia wanazidis tecno nadhani wengine hufata mmkumbo bcs ya kwangu ni zaidi ya miezi sita sasa sijaexpirians tatizo lolote yani mzigo safiiii unavotaka unataka.kicha, Tecno C9 naikubali sana hiyo simu waliitengeza kwa kutulia.. Sometimes jamaa wanatoa vitu vya ukweli.