Tecno siyo Simu ya Kujisifia na Kuifananisha Na High Quality Phone

Sijawah tumia techno kwa kweli
Kama unaweza kununua za bei kubwa poa haina shida. Me nilkuwa natumia tecno L3 kwa miaka 3 imekufa charge system nimenunua techno N2 ni simu ya budget specs ni Quadcore processor @1.3Ghz, ram 1Gb, camera rear ni 5megapixel na front ni 2megapixel na internal memory kwa ajili ya apps ni Gb 8. Bajeti min 90000 na max 140000 (mikoani).
 
Huawei bado huwezi kuwalinganisha na tecno... Kampuni nyingi zina tengeneza simu zao kulingana na Soko, kuna budget phones, mid range na high end! Huawei anazo high end ambazo zinazaweza kucompete na brand kubwa kama Samsung, htc na hata Sony japo bado hajatoa simu za kuwashake hao jamaa... Review honor 8,mate 9 na P8 utaona jamaa wako vizuri na tecno hawawakuti kabisa ="HansMapunda, post: 19590442, member: 270121"]Me ninachoona kila kampuni ya simu inatoa products zake kulingana na uwezo wake. Kampuni ambazo zimekomaa (kiteknologia na mtaji) huwezi kufananisha na kampuni ndogo. Samsung kuwachapa nokia walitumia nguvu kubwa sana lakini kwasababu walikuwa wamekomaa. Ila nokia nao wamegundua kuwa waliteleza hivyo nao wameanza kutoa android smartphones. Kwa mtazamo wangu linganisha Techno na Huwawei labda. Samsung linganisha na Iphone na Google. Nahisi unaweza kuwa fair.[/QUOTE]
Huawei
 
With my techno I have nothing to talks about it gives all I want immediately I have 32 downloded appl./,it has auto cool system,it stay with charge for 48 hrs with medium uses, I don't need power bank,as I had Samsung.and Sony xperia,
Infact am in happy all the time.

Kingereza cha beer hicho au viroba?

Mbona hiyo post inaonesha umetumia Xperia na si techno?
 
Kuna mchina mmoja nilikutana nae anatumia simu aina ya HTC ... Nikamuuliza kwa nini anatumia HTC akanijibu watanzania ndio mmapenda vitu feki ndio maana mnatumia simu kama tecn....... Na hua......


Mpaka Leo natafakali hii kauli sijapata majawabu
 
Ila hii Phantom 6 plus nimeanza kuitamani, kuna mtu anayo kazini iko vizuri na hata kamera iko vizuri kasoro kwenye low light.
 
Kuna mchina mmoja nilikutana nae anatumia simu aina ya HTC ... Nikamuuliza kwa nini anatumia HTC akanijibu watanzania ndio mmapenda vitu feki ndio maana mnatumia simu kama tecn....... Na hua......


Mpaka Leo natafakali hii kauli sijapata majawabu

= natafakari

Uliongea nae kwa lugha ipi? Kichina, Kingereza au Kiswahili?
 
wenye wivu mjinyonge, nilikuwa na Tecno L8 mzigo haukati chaji siku 3, hapo nime browse sanaaaaaa. Tecno ni mkombozi
Yes, HATA MIMI NIKO NAYO MPAKA LEO, iko faster sana, naangalia mechi za mpira Na michezo mingine live Online.... Ikiwa full charged Naweza nikaangalia mechi za mpira Wa Miguu mpaka 5 halafu unakuta zimebaki asilimia 80%

Yaani ziko vizuri sana Aiseee
 
Kwa kuwa wengi ndiyo simu "zetu" hizo zinazopondwa.
Kwa hiyo?
WRITING ON THE WALL
Tukumbuke 'GANDA la mua la mua lamfaa chungu' imeshasemwa vya kutosha, kuwa Tecno sio simu,ifike mahala, iwe inatosha
Ikumbukwe, hii ni biashara halali,mkibanwa na Tecno munawachafulia jina,mnazo sababu za kiufundi kutetea kauli zenu? HIYO NI HATARI.
 
duh mwenye na tecno sio simu hizi, unapigiwa muda mwingine haiidisplay ila inaita. kwenye meseju ndio usiseme kryboard inakuja ikataka, meseji nikifuta zinarud kesho yake, ukisearch jina keenye contact ni masaa10 bora kama umrkarir namba uweke manual, hapo sijazungumzia kujizima na kuwaka, kugoma kupokea simu huki dimu inaita, muda mwingine halitaki kutuma meseji ngoja niishie hapa kwanza manake inagoka hata kuandika
Kimbia huko unaeza pata heart attack mbeleni...tecno sehem pekee atleast wameweza ni betri tu. Ila hardware na software zake hazina kipya....yani wao simu mpya ni kubadili rangi na jina, size ya kioo, Os yake nk nk...
 
Back
Top Bottom