RGforever
JF-Expert Member
- Apr 3, 2011
- 6,878
- 5,431
Hello Ndugu...
Kuna Mada Jamaa Mmoja Aliileta Humu Inaenda Kwa Title Nimefunguka macho
Jamaa Amejisifia Kweli Na Akaona C8 ndo Solution Ukiangalia Vizuri kwenye Comment Nilimjibu Kuwa Hizo Siyo Simu Utajuta Baadae kwa Lagging Utakazo zipata ..Simu Inarespond hata Mtu Umeenda Toi na Kurudi bado haijafungua Message App.
SASA LEO YAMEMKUTA NIMEKUTA AMECOMMENT SOMEWHERE KWENY Ijue TECNO W4
Hahhhahahahahha Team Tecno Acheni Sifa Za Kijinga

Nakumbuka nliwahi kupost thread kusifia katecno kangu c8 maana kalinipumbaza kalivokua kapya.
Kalinipemdeza kweli. Nikasema kweli its a revolution. Ila sasa wiki mbili zilivokata nlivojaza app kadhaa, unapiga screenshot zinajipiga kama kumi na zote unakuta zimecorrupt.
Inaponiletea miujiza ni pale unatiririka kuandika text ndefu kama hii alafu unafika katikati keyboard inavanish. Mpaka ukae uisubiri ikitoka chooni ndo ije...
Sasa io W4 sindo itakua ugonjwa kabisa?