Tecno siyo Simu ya Kujisifia na Kuifananisha Na High Quality Phone

Kwa sasa nyumbani kwangu marufuku mtu kumiliki tecno.
Labda aje nayo ndugu yangu kutoka kijijini otherwise sitaki kuona tecno ndani kwangu.
Ukija na tecno kama bajeti yangu ni nzuri nakununulia hata Huawei tu ilimradi nisiendelee kuiona tecno eti nayo inachajiwa kwa chanja yangu!
 
Ni kweli tecno zina matatizo mengi haswa kujizima ghafla tena bila kuangushwa chini pia unachart na mpenzi wako sms kuchelewa kukufikia na matatizo kede kede upande wangu naichukia tecno lkn ni simu ambayo bado naipenda hapa nina samsung s4 mini sijawahi enjoy kama TECNO W4 upande wa moto ila hata hii samsung inajitaidi ikijaa masaa 20 yanapita bila shida lkn ukifungua data masaa 6 or 5 pia samsung ni sim mzuri mnoo lkn tecno simu zenye matatizo ila TECNO yangu nimeipeleka custom service nikaambiwa imekufa saketi ndo naitafutia pesa elfu 80 nikaifufue coz napenda kuishi na tecno .
 
Sina hamu nazo nilikuwa na Tecno moja hivi ilikujaga kuzima ghafla tu na haikuwaka tena. Baada ya hapo nilisema sitakaa ninunue tena Tecno. Nikaachana nayo sasa hivi nipo na hivi niko na Samsung Edge 7
 
Ila hii Phantom 6 plus nimeanza kuitamani, kuna mtu anayo kazini iko vizuri na hata kamera iko vizuri kasoro kwenye low light.
Hiyo simu ni nzuri sana inatunza chaji muda mrefu inakasi nzuri haikwami hata Samsung wanasubiri sana, kuna Tecno nyingine CX inakamera nzuri sana nyuma na mbele hata mtu akiwa gizani unamtoa vizuri tu
 
M nna Samsung galaxy grand naipenda hatareee sema Samsung wanaboa kweny battery capacity....yaan kwa cku nchaj almost mara kumi
 
Yes, HATA MIMI NIKO NAYO MPAKA LEO, iko faster sana, naangalia mechi za mpira Na michezo mingine live Online.... Ikiwa full charged Naweza nikaangalia mechi za mpira Wa Miguu mpaka 5 halafu unakuta zimebaki asilimia 80%

Yaani ziko vizuri sana Aiseee
uongo.
 
Ni aibu kutoa tecno hadharani..sijawahi kufkiria kutumia tecno..

kumbe unacho jali wewe ni watu watasema nini? Kitu gani ambacho TECNO inashindwa na smartphone nyingine - Watanzania sijui tunasumbuliwa na nini,mtu ananzisha mada za kubeza simu aina ya TECNO!! Kama uzitaki si ununue unazopenda kuna haja gani ya kujaribu kuwabeza watu wanao miliki simu TECNO?
 
sema Samsung wanaboa kweny battery capacity....yaan kwa cku nchaj almost mara kumi

Hili tatzo lilkuwa kwenye simu za Nyuma kidogo Nimetumia Galaxy S3 na S4 zilkuwa Majanga

Lakini nimekuja kutumia s5 charge iko Vizuri

Unatoka Arusha saa 12 huku unatumia njiani unafika Mwanza saa 2 na inakaa hadi kesho
 
Back
Top Bottom